Saa tisa usiku nipo room hotel flani mjini , Demu kakosea room kagonga kwangu, nashtuka sio kawaida, nani huyu ? Anagonga tena, nafungua mlango haaa.. mtoto mkali na kataulo tu.. akasema sorry nimekosea room.. ile narudisha mlango akaita "kaka, naogopa kulala peke yangu" .. naomba nikae hapo kwako, nikaogopa kwanza, nikamuuliza room number yake nikaenda prove kweli yupo alone, nikamuambia poa, karibu hadi kwenye makochi na mie kitandani mtoto akaanza zunguka bafuni nisije kuwa na mtu cheki cheki .. ananiuliza maswali kibao kama mpelelezi vile najibu hili linakuja hili, maana pale nilikuwa nimekaa karibia mieizi sita kwa ajiri ya kikazi.. haraka haraka nikawaza huyu asije kuwa anafatilia nyendo zangu alafu leo nikauza mechi kizembe zembe , kwanza kwanini asiende kwenye vyumba vingine kaja straigh kwangu ? na kutoka kwake hadi kwangu kuna vyumba katik kati hapoa karibua vinne na ni umbali kama wa second 30 kutoka kwake kuja kwangu, akili ikaanza kuwaza hakai kwenye makochi haji kitandani anakagua tu 😄😄😄😄 nikasema mwamba nimekosea mahesabu nimevunja mwiko