nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 674
- 1,064
NI kweli huyu ni wa kumpotezea tu..Hamna kumkwoti wala kumsemesha chochote kile
Ukigundua nasema na Nafsi yako hutojisumbua hivo upo sawa. Ukisoma tu nachosema inatosha
NI kweli huyu ni wa kumpotezea tu..Hamna kumkwoti wala kumsemesha chochote kile
Ukigundua nasema na Nafsi yako hutojisumbua hivo upo sawa. Ukisoma tu nachosema inatosha
Kimasihara wakuu ziendelee
We jamaa una nondo sijawahi ona halafu nilichokupendea unawajibu kistaarabu sanaKimasihara wakuu ziendelee
leta stori mkuuJinsi milivyokula kimasihara Mjamzito alipokuja RCH
L nakumiss sana wewe Mnyiramba sema ulikuwa mke wa mtu na hukuniweka wazi ila Wifi ako leo kanieleza Kila kitu!!!
[emoji23]DISCO limeingiliwa na PADRI[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Now zinapigwa nyimbo za dini tu, ukiamua ubaki ucheze au uchomoke.
Mauti hiyo ni kwa kila kiumbe kilicho hai acha ufala we mzeeKwan wokovu ni mtu anaamua kausha we piga mbususu kipo kilio. Mshahara wa dhambi ni mauti. Ndo nyie baiskel au torol linakugonga njian unakufa. Kazi yangu ni kuomba mwenye kufungua ni Mungu akikukubali safi akikutosa safi pia mapenzi yake yametimizwa. Yesu alikaa na makahaba,na wenye dhambi wala sio kosa mi kuwemo humu. Namtafuta kondoo mmoja tu
Kwa hiyo ujio wako humu ni Kama wa yesu ....? Basi ngoja tukuandalie viboko tukutwange Kama Yesu alivyo fanywa ilituamini Kama kweli umetumwa kuokoaHuuu huu mkuu maana Yesu alikuja kwa wadhambi wala sio kwa wenye haki. Hivo kaa kwa kutulia. Shetan pisha mbele Yangu
Anaficha utambulisho tafadhaliAcha uongo ww, mwalim hawezi kumtegemea mtu anaeandika hvyo
Ata “kula” unaandika “kura”
Unajua maana ya kura ww???
Chakula unaandika chakura
Kesho nitasimulia mitihani ya supplementary iliponipa tunda kimasihara.....
Hakuna jipya Mkuu! Ushoga ulikuwepo tanguuu!. na upo mpaka sasa, na utakuwepo mpaka mwisho wa Dunia km unautamani nikuunganishe njoo in box!...uliujuaje km hujaonjwa na kutelekezwa?? pole yako!!Shoga mwingine huyu hapa
Mambo
Poa sana, habari yako??Mambo
Habari yangu njema/salama kabisa mkuuPoa sana, habari yako??
SafiHabari yangu njema/salama kabisa mkuu