Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Wakuu nawasalimu kwa jina la kula tunda kimasihara Wafuska wenzangu mm sina kimasihara ila nataka njia ya Kui kula hii pisi ki masihara ... iko iv hii pis bana tuna ushkaj sana tu ila mm nampango wankumkula Asa kuna siku nilimwambia Unavaa chup Size gan Nipo sehem nikununulie akasema yeye anavaa Size kubwa (Kwasababu ana mwili kidogo) basi nikamchukulia chup pale nikanunua na nyingine ndogo iv (Hii n kwasababu ya dem wangu Ana mwili mdogo) asa kila siku alikuwa ananiambia anakuja kuchukua ila ratiba zikawa zinatofautiana mpaka kuna siku ikaja dem nyingine geto katika kupekua akaiona iyo chup akataka kuleta mzozo kuwa chup mpya ni za nani ikabid nimwambie nimemnunulia yeye (sababu pia na yeye ana mwili kidogo Kwaiyo nilijua zitamtosha)basi yule dem akanielewa kishngo upande ..Asa shida hii manzi leo imenipgia sin asubuh et anafwata mzigo wake nikamjibu Poa nikamwambia njoo unipkie pilau maana nina ham ya kula msos mzir wa hom akasema Poa ninunue kila kitu anakuja .....Asa wafuska wenzangu nataka mnipe njia nzur ya kumla kimasihara uyu rafk angu maana (ASA APA SHIDA CHUP ZISHACHUKULIWA NA MWINGINE NA KUTOKA APA NILIPO MPAKA TOWN KUNA UMBAL KIDOGO ASA NAWAZA NAMLAJE UYU RAFK ANGU JAMN )
Issue easy hio nlishawah kuntokea

Akija kua mnyonge atakuuliza mbona upo umenyongea utamwambia mzgo wake umekuharbia kazi dem..
Ulkua na Miadi na mams yako ije uikate
Akaja kabla ujamkata akaziona izo chupi mkagombana sana na amezchukua akachoma moto akasepa...
Amekuacha upo high na mi genye kibao muda huo ushamsogelea na ushamgusisha mti nyama ulivotuna kwa hasira akigoma mwambie anakuachaje ivo akisema anakuheshim mwambie ata aushike

Akichomoka hapo niite mbwa nipo pale
 
Kimasihara hii imetokea recently tu nikiwa natokea Mwanza kuelekea Daslam.

Naingia zangu kwenye Bus la Darlux mida ya saa 11 Alfajir nikiwa na wenge la jana usiku nilikuwa vyombo kidogo, nacheck kwenye seat yangu amekaa demu ikabidi nimuambie anipishe nikae n akakubali kunipisha nikakaa kilichofata nikalala usingiz mmoja hv mrefu.

Kuja kushtuka ni saa 5 kasoro hvi kucheck pembeni yangu namuona dem mkali kichizi nikajiuliza hv nilimsalimia kweli nikaona huu utakuwa unyonge nikakausha nikawa naangalia pembeni kwenye kioo(Moyoni nikijisemea atajaa tu mwenyewe)

Kweli bwana nikanyuti mpaka mida ya saa tisa hvi lile goma likaanza kusinzia huku akiniegemea nikajisemea muda umefika sasaNikamuambia kwann usilale kwangu hapa hvyo unaumia shingo mrembo!! Akasmile n akanisalimia mambo nikacheka nikamuuliza kwani sikukusalimia!? Akanijibu wewe ulijifanya kauzu tangu umeingia ndani ya gari, ikanibidi nimdanganye nimuambie nilikua sijisikii vzr

Stor zikaendelea tukafika lakn tulivyofika Moro sababu usiku ulikuwa umeingia tayar nikaanza kupekenyua sehemu muhimu n zote nilizogusa ilikuwa ni point nikaendeleza mpka na yeye alipoaanza kujibu mapigo baadae akaniomba akaniambia tutulie kidg tupo kwa gari soon tutafika tu nikamuambia fresh.

Ile tunakaribia kufika office za darlux goma linaniambia kaka yake ameshafika sasa tunafanyaje (Moyoni nikajisemea nishalikosa shombeshombe hili) nikamuuliza kwani unakaa wapi akasema Kigamboni, Tuangoma nikasema yes mbona n mm nakaa Kigamboni hukohuko!! Akasema basi sio kesi nipe namba yako n akapiga palepale nikapata n yake, akasema kesho tutamalizia kazi ambayo tumeianzisha nikasema poa, tukafika stand tukashuka kila moja akasepa njia yake.

Kesho yake nimechill nikijua nimelikosa goma, toto likanicheck n likaomba location, kidume chap kwa haraka nkikatuma baada ya kama dk 40 toto hili hapa aiseeh nilibamiza ile mbususu n ni mnato kwelikweli

Narsa popote ulipo ile game itarudiwa kwasababu alisepa akaend moro chuo baada ya kama siku 4 hv

Nasra wa jordan university? Umepigwa mkuu
 
Kimasihara nilikuwa nipo kwenye daladala hapa mjin dar nikitokea masaki-Gongo la mboto mara
papu mtoto huyu hapa pembeni yangu tena mweupe pee duh,kama mjuavyo safar ya gomzi huwa ndefu nikamsemesh mtoto nikapokelew kwa kupewa namba tulipofk mombasa mtoto kashuk mida ya usik mara naona kwa phone langu Mamb kaka nami bila kupoteza wakt nikaanza kuchat naye nakumbk ilikuwa jmos hiyo day nikaomba location mtot akaitik kuja gomz pale Pasword kiukwel nilifutulu mbususu ya mtoto wa kilangi mbususu nyeupe kama upaja dar nilikula mpaka saa 2 usiku tok saa kumi now mtot ananiita bby kufatilia mtoto anafany job roby pharmacy saiz ni mwendo wa kugonga kokoto2 kila weakend
hii ni chai
 
Na kama wiki 2 nyuma kulikuwa na training fulani ya wakaguzi

Nilikuwa kama wewe. Lakini nilipo kutana na Yesu nililia na kuomboleza kwa kuwa nilikuwa mjinga na mpumbafu nilitubu na kuwatubia wote nlofanya nao upuuzi ili niwe huru na mke wangu. Nisiwawaze wao nikiwa na mke wangu. Asante Mungu kwa kuniwezesha na kunifuta ktk kitabu cha hukumu na kuniandika upya ktk kitabu cha Uzima. Naskia uchungu kwa Ajir yako maana naona unachekelea kumbuka kuna kulia na kusaga Meno hakuna ufahar juu ya uasherati. Lakini Yesu alienikomboa mimi akukomboe na wewe. Maana u ktk kifungo, Nafsi yako imefungwa na shetan anaitumikisha anavotaka wala si ww bali vifungo. Usomapo Msg hii Moto Ulao ukateketeze hiyo Roho ya uzinzi na uasherati ika Ng’oke na Hofu ya Mungu ikatawale. Hakuna uzinzi tena kwako uwe huru.

Nasubir ushuhuda wa hii kwa wote watakao soma. Yupo mmoja Mungu atamfungua.
 
Jamaa habari za huko utokako kwema lakini?
 
Aliyemwambia tunataka kuokoka nani?
 
Kimasihara nilikuwa nipo kwenye daladala hapa mjin dar nikitokea masaki-Gongo la mboto mara
papu mtoto huyu hapa pembeni yangu tena mweupe pee duh,kama mjuavyo safar ya gomzi huwa ndefu nikamsemesh mtoto nikapokelew kwa kupewa namba tulipofk mombasa mtoto kashuk mida ya usik mara naona kwa phone langu Mamb kaka nami bila kupoteza wakt nikaanza kuchat naye nakumbk ilikuwa jmos hiyo day nikaomba location mtot akaitik kuja gomz pale Pasword kiukwel nilifutulu mbususu ya mtoto wa kilangi mbususu nyeupe kama upaja dar nilikula mpaka saa 2 usiku tok saa kumi now mtot ananiita bby kufatilia mtoto anafany job roby pharmacy saiz ni mwendo wa kugonga kokoto2 kila weakend
Mrangi tena nani anakataaga
 
Nilikuwa kama wewe. Lakini nilipo kutana na Yesu nililia na kuomboleza kwa kuwa nilikuwa mjinga na mpumbafu nilitubu na kuwatubia wote nlofanya nao upuuzi ili niwe huru na mke wangu. Nisiwawaze wao nikiwa na mke wangu. Asante Mungu kwa kuniwezesha na kunifuta ktk kitabu cha hukumu na kuniandika upya ktk kitabu cha Uzima. Naskia uchungu kwa Ajir yako maana naona unachekelea kumbuka kuna kulia na kusaga Meno hakuna ufahar juu ya uasherati. Lakini Yesu alienikomboa mimi akukomboe na wewe. Maana u ktk kifungo, Nafsi yako imefungwa na shetan anaitumikisha anavotaka wala si ww bali vifungo. Usomapo Msg hii Moto Ulao ukateketeze hiyo Roho ya uzinzi na uasherati ika Ng’oke na Hofu ya Mungu ikatawale. Hakuna uzinzi tena kwako uwe huru.

Nasubir ushuhuda wa hii kwa wote watakao soma. Yupo mmoja Mungu atamfungua.
Bro hakuna uzinzi, Mungu ndie muumbaji, unahisi He was Crazy creating a Pu**y and D**ck??!. Anyways utakuja kushtuka badae ukiwa wasted. Sali kwa ukimya na tubu kwa ukimya sio haya makelele ya Khanga za Pwani. Tuendelee kusifu sio kuzihaki. Uzi huu hauhitaji ukombozi.
 
Back
Top Bottom