Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Akipandacho Mtu ndicho akivunacho ni lazima kuvuna. Kama umepanda Mema basi utavuna Mema na mabaya pia. Hivyo tabia ya kufanya mapenzi kinyume na Maumbile ewe Mume kufira mtu mke au Mume uwe na hakika na wewe Ama mwanao ama mjukuu atafanya hayo kugeuzwa. Hii ni kama hakuna Toba ya kweli. Taman kuishi maisha ya Toba lakin ombea na wengine.

Penda sana Kuwa lala wa dada na ww dada Penda sana wanaume kabla na baada ya ndoa. Mambo ambayo hutopenda mwanao afanye na wewe uliyafanya. Nakukumbusha utavuna unachopanda sasa hivi hapo badae. Pasipo Toba ya kweli hakika utavuna. Mlango mda wote huwa upo wazi kwa ajir ya wanyenyekeao.

Mungu anatupenda ndo maana analeta habari njema kila iitwapo leo hata kama hatuzipendi masikio yanawasha lakini Yeye hachoki maana anawajua walio wake.

Toba itatuweka huru siku zote. Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu. Ni muhimu Roho ikajifunza kuishi maisha ya mbinguni ikiwa duniani maana ilikuwapo mbinguni hapo kabla na shetani hataki irudi. Yeremia 1:5
 
Amani Kabisaa. Hakuna magonjwa, hakuna ajari, nalikuwa kipofu sijui dhambi wala sion dhambi sasa naona, kuna uzima, naijua kesho yangu, na uhakika wa kuishi miaka timilifu na ikibid kuongezwa kama ntazid kumfurahisha Mungu kama Ali Poa Muongezea Hezekia. Ndugu zangu wanalindwa na Bwana, hakuna kulogwa, mashetani yakiniona yanatetemeka. Yote haya ni kwa sbb Yesu amenipa Neema. Hiyo Neema kiu yangu uipate na ww. Ila kwa mapenzi yake Mungu maana Mungu hachanganywi. Hivo nitokapo Ni kwema na sitoki kwa Yesu maana ni kwema
Mnafiki wewe unasoma nyuzi za watu halafu unaleta, ujuaji huku tayari ushasoma masihara ya wengine, kama kweli usiingie kabisa humu
 
Bora kukosa akili. Nimepatia nasema na nyie ambao mmefungwa sbb ya dhambi za wazazi wenu, Babu na koo zetu Nipo hapa kuwapa Habari njema mwenye masikio ya kusikia atasikia. Aliye kipofu ataona mimi sina akili wala haina shida. Na itajulikana kila goti litapigwa kwa Bwana Yesu. Usipopokea wewe atapokea mwingine. Si mnasema thread inafatiliwa si mbaya nikahubir ntafatiliwa pia. Tuishi mkuu. Na vile mnaenda na kusali jumapil, jumamos na ijumaa mnatoa na sadaka. Amin nakwambia kwa miandiko hii bado mnayatolea mapepo sadaka. Haiwezekani ukaabudu na bado uasherati na uzinzi vikuandame. Hivo ni vifungo ni pingu, ni magereza ni minyororo shetani kawafunga kwenye dini hizi. Hamna msaada.

Kama Mungu aishivyo mkawe huru kwa Jina lake Yesu
Hapa sio mahali pake[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706],nyie ndio wale mnalazimisha kuhubiri kwenye mabus
 
Mnafiki wewe unasoma nyuzi za watu halafu unaleta, ujuaji huku tayari ushasoma masihara ya wengine, kama kweli usiingie kabisa humu

Yesu aliambiwa Yeye ni Berbezuri mkuu wa mapepo haya ni madogo. Leta masihara nasoma kwan we wa kwanza. Kama Nyoka alikula masihara kwa hawa akazaliwa kaini kuna shida gani kizazi cha nyoka mpaka sasa kuwepo. Ni Yohana mbatizaji pia alibatiza kizazi cha nyoka kilishituka so relux. Leta masihara Tuburudike.
 
Hapa sio mahali pake[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706],nyie ndio wale mnalazimisha kuhubiri kwenye mabus

Yesu asingekuja kumbe. Relax kama unaona hapa ni kwa wadhambi basi Yesu yuko hapa. Mafarisayo na walimu wa dini hawakumpenda kabisa sbb alisema ukweli ila hakuwalazimisha waache dhambi. Maana huwezi kuacha dhambi isipokuwa Mungu amependa hivo relax. Jukwaa hili ni la mapenzi, urafiki na si la kuonyesha umefanyaje mapenzi umetumia stail gan
 
Usitupotezee muda we KIZEE! Kama una kisa chochote jinsi ulivyomla/ ulivyoliwa (na) kondoo wako kisimulie , sio una tuletea habari za Yesu mara Mafarisayo, Walimu wa dini, n.k. Do these associate with the topic of our symposium?

NEVER DO IT AGAIN WE WILL HUMBLE YOU!
 
Hukuona digrii nyingine mpaka ukasomea Ugavi? Kwa huo Ugavi tu miaka 3 ijayo hata kumtaja YESU utakuwa unaona aibu.
 
Yesu aliambiwa Yeye ni Berbezuri mkuu wa mapepo haya ni madogo. Leta masihara nasoma kwan we wa kwanza. Kama Nyoka alikula masihara kwa hawa akazaliwa kaini kuna shida gani kizazi cha nyoka mpaka sasa kuwepo. Ni Yohana mbatizaji pia alibatiza kizazi cha nyoka kilishituka so relux. Leta masihara Tuburudike.
Nilikwambia hutafikisha miaka 3 kabla hujaanguka na anguko lako linaanzia hapa.
1.Ni andiko gani Yesu ameitwa Berbezuri?
2.Ni andiko gani Nyoka kalala na Hawa?
3.Ni andiko gani Kaini si Mtoto wa Adam bali Baba yake ni Nyoka.
 
Usitupotezee muda we KIZEE! Kama una kisa chochote jinsi ulivyomla/ ulivyoliwa (na) kondoo wako kisimulie , sio una tuletea habari za Yesu mara Mafarisayo, Walimu wa dini, n.k. Do these associate with the topic of our symposium?

NEVER DO IT AGAIN WE WILL HUMBLE YOU!

Kondoo haliwi ndugu. Anaemla ni Mwivi na mnyang’anyi.

Zaburi 25:7 - Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee Bwana kwa ajili ya wema wako.

Kama nishatubu ya Nini nianze kuyakumbuka maovu boss wangu. We ndo boss wangu kusoma kwako Maneno ya Mungu yanafanya nalipwa na Mungu uzima wa Milele. Twende tu kidogo kidogo falisayo ndo wewe mkuu usidhan kuna mtu mwingine aliandikiwa Bible ni wewe tajir wa kiroho usie na haja umejishibisha Elimu yako ya uwongo hakika ya kwamba tajir hatauona ufalme wa Mbingu. Nipo hapa kabla hayajatukia hayo. Kumbe bas Neema ya Mungu iwe pamoja nawe. Sio kosa lako ni Mama yako( ki biblia Mwanamke ni kanisa) hivo kanisa lako ama dini yako ilokuzaa kiroho na kukubatiza haijakusaidia.

Neno lako ni hili Zaburi 51:5 - Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; Mama yangu alinichukua mimba hatiani.

Si makosa yako huo ndo ukweli. Basi Mungu aliye hai asie Bubu na kiziwi atusaidie tutavuka tu taratibu
 
Nilikwambia hutafikisha miaka 3 kabla hujaanguka na anguko lako linaanzia hapa.
1.Ni andiko gani Yesu ameitwa Berbezuri?
2.Ni andiko gani Nyoka kalala na Hawa?
3.Ni andiko gani Kaini si Mtoto wa Adam bali Baba yake ni Nyoka.

Naomba utambue ya kwamba nakijua nachokisema. Na sibishani sijaja hapa kubishania maandiko eeh Mpendwa katika bwana. Maana wewe ni mpendwa mimi nakupenda kama bwana anavokupenda ndo maana nakupa Habari njema ili twende wote mbinguni. Mimi ni mbinguni na iman ni kuwa na hakika ndo maana namwomba Mungu nisikengeuke nibkuishi maisha ya utakatifu yaani toba.

Zaburi 16:3 - Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao.
Jitahisi kumpendeza Mungu kaka/dada.

Kujibu swali lako ni kwamba kajisomee yameandikwa we si Mkristo kasome Marko, Yohana na hata Luka. Shida mnasoma kwa kuruka ruka. Kaa tulia soma mwanzo mpaka mwisho Mungu atakusemesha.

Bibilia ni maandiko tu kama hutaki toba ya kweli hata mchawi anasoma. Ni Ramani tu au daraja wala halikufikishi popote. Lakini ukitubu kwanza na kukubali kuacha mabaya bas Roho wa Mungu anashuka inakuwa si ANDIKO TENA BALI NENO LA MUNGU LENYE PUMZI YA ROHO MTAKATIFU.

Nyoka ni shetani. Wewe kwa sasa unaweza kubeba uhusika wa shetani ndani yako ukaenda kumpa mimba mke wa Mtu na akazaa mtoto. Huyo mtoto ni mtoto wa zinaa (Ndio maana ya Habari ya Nyoka na hawa) jitazame sasa mtoto huyo nae atazaa kizazi cha nyoka kitaendelea Ndio kimejaa humu ni viburi, wachafu wanalamba Mikundu, wanafira, wameoa lakini wake zao hawana shambani, na wao wanaenda makanisani na misikitini, walevi. Misikiti na makanisa imeshindwa kuwasaidia. Na kuwatoa kwenye vifungo.

Sasa Nipo hapa Mwenye masikio na asikie lile Neno Yesu alowaambia Mataifa wasiomjua Mungu KWAMBA WOKOVU UMEWAJILIA

HOFU YA MUNGU IKUTAWALE WW UNAEWAZA KULA KIMASIHALA NAUA HIYO ROHO CHAFU SHETANI ALOKUFUNGA NAYO NAVUNJA KWA DAMU YA YESU NA KWA MOTO ULAO. Uwe huru mwanangu
 
Hukuona digrii nyingine mpaka ukasomea Ugavi? Kwa huo Ugavi tu miaka 3 ijayo hata kumtaja YESU utakuwa unaona aibu.

Mkuu tunasoma ili tutoe ujinga ninwewe tu uliyesoma ili uajiliwe. Hayo ni mapenzi yangu. Mimi sijadili maisha ya mtu mkuu.

Bali Nipo hapa si kupingana na wewe au na yeyote bali napingana na shetani aliyekamata nafsi na mioyo ya yenu. SI WEWE BALI SHETANI ELEWA. Degree ni Yangu na Mke wangu
 
UAMKAPO ASUBUHI VIZURI KUMSHUKURU MUNGU KWA UZIMA AMEKUPA. Omba ulinzi wake haijarishi haujui kuomba we omba unavojua na Mungu Baba yangu atakuzidisha.Mshukuru kwa ajiri ya mke/mume wako Nenda katafute ugali. Ukirudi mshukuru Mungu kwamba kazuia mabaya omba ulinzi. Lala ni mambo ya kila siku UTAONA MABADILIKO NDANI YAKO
 
Back
Top Bottom