Bora kukosa akili. Nimepatia nasema na nyie ambao mmefungwa sbb ya dhambi za wazazi wenu, Babu na koo zetu Nipo hapa kuwapa Habari njema mwenye masikio ya kusikia atasikia. Aliye kipofu ataona mimi sina akili wala haina shida. Na itajulikana kila goti litapigwa kwa Bwana Yesu. Usipopokea wewe atapokea mwingine. Si mnasema thread inafatiliwa si mbaya nikahubir ntafatiliwa pia. Tuishi mkuu. Na vile mnaenda na kusali jumapil, jumamos na ijumaa mnatoa na sadaka. Amin nakwambia kwa miandiko hii bado mnayatolea mapepo sadaka. Haiwezekani ukaabudu na bado uasherati na uzinzi vikuandame. Hivo ni vifungo ni pingu, ni magereza ni minyororo shetani kawafunga kwenye dini hizi. Hamna msaada.
Kama Mungu aishivyo mkawe huru kwa Jina lake Yesu