Naomba utambue ya kwamba nakijua nachokisema. Na sibishani sijaja hapa kubishania maandiko eeh Mpendwa katika bwana. Maana wewe ni mpendwa mimi nakupenda kama bwana anavokupenda ndo maana nakupa Habari njema ili twende wote mbinguni. Mimi ni mbinguni na iman ni kuwa na hakika ndo maana namwomba Mungu nisikengeuke nibkuishi maisha ya utakatifu yaani toba.
Zaburi 16:3 - Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao.
Jitahisi kumpendeza Mungu kaka/dada.
Kujibu swali lako ni kwamba kajisomee yameandikwa we si Mkristo kasome Marko, Yohana na hata Luka. Shida mnasoma kwa kuruka ruka. Kaa tulia soma mwanzo mpaka mwisho Mungu atakusemesha.
Bibilia ni maandiko tu kama hutaki toba ya kweli hata mchawi anasoma. Ni Ramani tu au daraja wala halikufikishi popote. Lakini ukitubu kwanza na kukubali kuacha mabaya bas Roho wa Mungu anashuka inakuwa si ANDIKO TENA BALI NENO LA MUNGU LENYE PUMZI YA ROHO MTAKATIFU.
Nyoka ni shetani. Wewe kwa sasa unaweza kubeba uhusika wa shetani ndani yako ukaenda kumpa mimba mke wa Mtu na akazaa mtoto. Huyo mtoto ni mtoto wa zinaa (Ndio maana ya Habari ya Nyoka na hawa) jitazame sasa mtoto huyo nae atazaa kizazi cha nyoka kitaendelea Ndio kimejaa humu ni viburi, wachafu wanalamba Mikundu, wanafira, wameoa lakini wake zao hawana shambani, na wao wanaenda makanisani na misikitini, walevi. Misikiti na makanisa imeshindwa kuwasaidia. Na kuwatoa kwenye vifungo.
Sasa Nipo hapa Mwenye masikio na asikie lile Neno Yesu alowaambia Mataifa wasiomjua Mungu KWAMBA WOKOVU UMEWAJILIA
HOFU YA MUNGU IKUTAWALE WW UNAEWAZA KULA KIMASIHALA NAUA HIYO ROHO CHAFU SHETANI ALOKUFUNGA NAYO NAVUNJA KWA DAMU YA YESU NA KWA MOTO ULAO. Uwe huru mwanangu