😃😃😃yani unapewa jibu flani hivi hadi unajiona hauna maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa tupu Mimi ni 2015 834kj. Aisee nikikumbuka siku hiyo huwa nacheka peke yangu. Dah ila huyo afande alikuwa hafai, kwamba anakwambia adui atakuja mbele akwambie niue![emoji3][emoji3][emoji3]
Ajira hamna wameamua kuja kujifariji humu, wakati wanatufungulia mageti yetu ya taasisi[emoji16]hawa JKT wametokea wapi?wananikeraje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] piga deki.Huu Uzi umeanza kunuka na kinyesi
Kayange walimleta 822kj mujibu 2018 alkuwa RSM wetu.. japo ana matusi kinomaKuna afande alikuwa anaitwa Kessy wa F coy Yule aliyejimwagia ndoo ya maji, kuna afande alikuwa anaitwa Chuga alikuwa kule shambani kwa msanga yaani usiporudi na kuni anakukamata pale shuleni,
Kuna kiafande kilikuwa kinaitwa Mlozi cha E coy kilikuwa kina Mambo ya hovyo sana.
Kuna Mzee mmoja alikuwa Ni staff sajenti jicho lake moja kama halioni vizuri hivi alikuwa anatoa doso hatari pale getini.
Wapiiii afande kayange mwenye mapengooooooo haaahaaaa.
Wapi RSM MATANDA Mzee wa ng'ombe wa mayai.
Wapiiii RSM kikotiiiiiii mzee wa makamanda makamandaaaaaa haaahaaaa
835KJ, mgamboooo
Ningekuwa Mode ningefuta comments zao zote. JKT wana mambo ya kishamba sanaAjira hamna wameamua kuja kujifariji humu, wakati wanatufungulia mageti yetu ya taasisi[emoji16]
HtrNamkumbuka huyo si ndio kipere kafupi fupi?
Kulikuwa na luten mmoja anaroho nguvu hiv,haalafu kuna mmoja alikuwa na Noah mzuri sanaMwanamke mzuri alikuwa ni MP alafu alikuwa analiwa na mshikaji flani wa kujitolea ambaye alikuwa doja maarufu
Maluten wote wa kike walikuwa na sura ngumu.
Kuna jamaa kipindi cha uzalendo alikuwa anavaa kiraia anapiga story na kuruti asubuhi hadi jioni lakini aiku tunafungua mafunzo nkamuona katupia sare kama za magereza ana minyota sijui zile sare ni za jeshi gani
hahahahahaKuna kuruta Misago wa pale kigurunyembe, jamaa sitamsahau
alimpelekesha mjeda mmoja balaaKuna kuruta Misago wa pale kigurunyembe, jamaa sitamsahau
Huyu afande siwezi msahau maishaalimpelekesha mjeda mmoja balaa