yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,414
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa tupu Mimi ni 2015 834kj. Aisee nikikumbuka siku hiyo huwa nacheka peke yangu. Dah ila huyo afande alikuwa hafai, kwamba anakwambia adui atakuja mbele akwambie niue![emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu 2018 nlikuwa mujibu 822kj.. tulivyoenda Shabaha nilikuwa target namba moja,yani ile ilikuwa kama imepinda hivi na unaona kabisa imepinda lakini anamuuliza mkuu anakwambia,"kwahiyo unategemea adui atajiweka hapo mbele akwambie haya niue"[emoji2][emoji2].
Mpaka tunamaliza ile kitu details zaidi ya 40 haikupigwa na mtu.Lakini mule katikati watu wanapigiana kinoma,unakuta kidada hakina hata nguvu ya kubeba mashine et kimepiga tatu[emoji23][emoji23]