Ulishawahi kula tunda kimasihara?
OP muungano,afande kanole anasema" Sisi hatuwatengenezi kuwa wa mujibu wa sheria,ila tunawatengeneza kama askari wa akina,likitokea la kutokea si tuna no.zenu tunawakurupua tu"..Nikiwasimulia sekeseke la mgambo mujibu wa sasa hvi wanahisi ni movie au nawapiga kamba,

Kulikuwa na luten mmoja wa kike mzuri kinyama sijui alikuwa anaitwa nani?,Yule captain sikuwa kumuona kuonyesha kuridhishwa hata siku moja,akija utasikia kuruti ndo kitu gni mnafanya....daaa
Afande Rashid Kanole mutu ya kazi sio huyo?

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa man nyege kuruti unazitoa wapi, mimi 2014 nikipata chance nilikua nawaza kulala tu, sikuwahi hata kutongoza yani.
👊👊👊 wale waliopita 842kj mafinga . nakumbuka kuna siku kombania yetu tulienda shambani kwa mwamunyange. Ilitokea afande akatuambia tupumzike kidogo akawa ametoka kama dakika 10 hivi .ile kurudi akakuta kuruti wote tumeuchapa usingizi 😂😂😂😂
Jeshini usingizi ni kitu inatafutwa kama almasi hasa kwa kuruti 🏃🏃🏃🏃🏃
 
Kabisa man nyege kuruti unazitoa wapi, mimi 2014 nikipata chance nilikua nawaza kulala tu, sikuwahi hata kutongoza yani.
huyu alikua Nanga, nyege unazitoa wapi kwa doso lile, nakumbuka niliwah jificha na demu lakini sijui nlisinzia saa ngap ata sikuwaza kumla, nimekuja kumla tulivyofika Daslam course imeisha, wazee wa Embakasi, wapi man Gaddafi [emoji16]
 
👊👊👊 wale waliopita 842kj mafinga . nakumbuka kuna siku kombania yetu tulienda shambani kwa mwamunyange. Ilitokea afande akatuambia tupumzike kidogo akawa ametoka kama dakika 10 hivi .ile kurudi akakuta kuruti wote tumeuchapa usingizi 😂😂😂😂
Jeshini usingizi ni kitu inatafutwa kama almasi hasa kwa kuruti 🏃🏃🏃🏃🏃
NIakjua hata Afande akakuta Makuruta mnakulana kimasihara.. kumbe kulala, pathetic
 
James yaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwana ana sauti akisema Ngurutu kikosi kizima mnasikiaaa. James alipenda ngurutu sio kanole nyie alitupa shuruba yule mzeee balaaa
Bora kanole,kuna yule captain wake,alafu kulikuwa na yule Luten wa kiume mkatili mbaya mnaaa
 
Mkuu tulikuwa wote Bravo Coy, me platoon 1 section 2 , afande kabeya,Natalya,wame ,Husna , benja,ibra na wengine kibao kina Bruno nawakumbuka.Afande Beatrice pisi Kali
Nilikuwa alpha coy,,,A coy....na kina kitereja jamaa fulani hivi marafiki mnafiki hivi,kukugeuka dk,
 
Jamaa nlisikia ameenda kusoma sijui...!! James ukimuona ndo utajua wanajeshi wanatakiwa waweje yani noma sana.. Sisi yule manzi wa Danger kusema alitongozwa yule hasan kuomba msamaha mbele ya ngurutu ndo tuliponzekaa
Oya rikiboy unaharibu uzi wetu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom