X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,714
- 14,841
mzee unataka uthibitisho gani...ina maana atuaminiani
mzee unataka uthibitisho gani...ina maana atuaminiani
haaahaaa mtoto umenibamba sana...haki vile sikuachi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanafaidi kimasikhara jaman. Hapo kwenye uno feni sasa, woiiiiiiiiiiih.
mimi nakujua sio tu kukufahamu mchumba...na ulivyo nibamba haki vile sikuachi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko wee hunifahamu kwan?
Pole mkuunimedindisha tena[emoji39]
Mgambo mgambo ya morali,OP gni hyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka mbali Mgambo JKT, kabuku woiiiiiiiih.
OP muungano,afande kanole anasema" Sisi hatuwatengenezi kuwa wa mujibu wa sheria,ila tunawatengeneza kama askari wa akina,likitokea la kutokea si tuna no.zenu tunawakurupua tu"..Nikiwasimulia sekeseke la mgambo mujibu wa sasa hvi wanahisi ni movie au nawapiga kamba,Kwa msanga.
Genda genda shamba moja matata,
Miaka ya 2014 kurudi nyuma hapo 835 KJ kozi zilikuwa sio za kitoto kiasi kwamba hamna hata muda wa kudindisha,
Nashangaa sana kusikia eti watu mlikuwa mnahamu ya mapenzi, sisi ilikuwa ukipata upenyo unachowaza ni kulala tu [emoji3]
Kanole hakuwa na ujinga wa kulea kuruti kizembe hivo
Nimemkumbuka captain mberenje jamaa anakupa mateso ya kisaikolojia mpaka ukikutana nae unampkimbia
Alikuwa anakula bangiiiiBravo Coy Mgambo kuna afande alikuwa anaitwa Kabea tall sana jamaa alikuwa anatupa tano za kulalia mgongo sana yani akitoa nusu saa unahisi ni mwakaaa... Mwana sana yule Afande sema msimuuzi
Kanole alikuwa Kauzuu balaaa yani sisi tumepiga passout tumerudi bado akaendelea kutaka kuttukimbiza kimbiza mabio yasioeleweka.. Kuna afande kutoka Kigoma jamaa ni Tall giant kinoma siku hiyo tupo mabio yupo na sisi hapo hatujui kama ni CO mpya kesho yake mkesha hakuna kulala mapema sana tukaanza kula shumbwela balaa.. Huyo matroni namkumbuka sema jina ndo nimemsahau alikuwa anatembea na Kasevice girl flani ni Pisi moja ya kwenda.OP muungano,afande kanole anasema" Sisi hatuwatengenezi kuwa wa mujibu wa sheria,ila tunawatengeneza kama askari wa akina,likitokea la kutokea si tuna no.zenu tunawakurupua tu"..Nikiwasimulia sekeseke la mgambo mujibu wa sasa hvi wanahisi ni movie au nawapiga kamba,
Kulikuwa na luten mmoja wa kike mzuri kinyama sijui alikuwa anaitwa nani?,Yule captain sikuwa kumuona kuonyesha kuridhishwa hata siku moja,akija utasikia kuruti ndo kitu gni mnafanya....daaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujapewa muongozo bado?,,baby girl na mim nataka kitu
Story tyuuh hii, sasa nyie Yanga ni kweli kabisaa na ushahidi uko wazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikua wee kwenye chain. UwiiiiiihMukoko umejuaje kama basha wao au na wewe ulikuwa kwenye chain?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]vipi kamanda kwani ni manzi yako nini...?
Love you bebeee, [emoji12][emoji12]haaahaaa mtoto umenibamba sana...haki vile sikuachi
Tanteeeeeeh hunnie, [emoji3059][emoji3059][emoji3059]mimi nakujua sio tu kukufahamu mchumba...na ulivyo nibamba haki vile sikuachi
Unaongelea OP kikwete na huyo luten ni Mpume , Huyo aliyetoka Bulombola anaitwa Meja James.Huyo alitutesa sana , siku ya kwanza alitulisha doso uwanja wa damu kisa kuna mtu aliitika hovyo ruti ya mabio ilipotaka kuanza.Kanole alikuwa Kauzuu balaaa yani sisi tumepiga passout tumerudi bado akaendelea kutaka kuttukimbiza kimbiza mabio yasioeleweka.. Kuna afande kutoka Kigoma jamaa ni Tall giant kinoma siku hiyo tupo mabio yupo na sisi hapo hatujui kama ni CO mpya kesho yake mkesha hakuna kulala mapema sana tukaanza kula shumbwela balaa.. Huyo matroni namkumbuka sema jina ndo nimemsahau alikuwa anatembea na Kasevice girl flani ni Pisi moja ya kwenda.
Kuna wahuni wako peace sana ila ukijichanganya kwenye 18 zake tu....... maake hapo kwanza nchekeBravo Coy Mgambo kuna afande alikuwa anaitwa Kabea tall sana jamaa alikuwa anatupa tano za kulalia mgongo sana yani akitoa nusu saa unahisi ni mwakaaa... Mwana sana yule Afande sema msimuuzi
James yaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwana ana sauti akisema Ngurutu kikosi kizima mnasikiaaa. James alipenda ngurutu sio kanole nyie alitupa shuruba yule mzeee balaaaUnaongelea OP kikwete na huyo luten ni Mpume , Huyo aliyetoka Bulombola anaitwa Meja James.Huyo alitutesa sana , siku ya kwanza alitulisha doso uwanja wa damu kisa kuna mtu aliitika hovyo ruti ya mabio ilipotaka kuanza.