Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Kuna afande alikuwa anaitwa Kessy wa F coy Yule aliyejimwagia ndoo ya maji, kuna afande alikuwa anaitwa Chuga alikuwa kule shambani kwa msanga yaani usiporudi na kuni anakukamata pale shuleni,
Kuna kiafande kilikuwa kinaitwa Mlozi cha E coy kilikuwa kina Mambo ya hovyo sana.
Kuna Mzee mmoja alikuwa Ni staff sajenti jicho lake moja kama halioni vizuri hivi alikuwa anatoa doso hatari pale getini.
Wapiiii afande kayange mwenye mapengooooooo haaahaaaa.
Wapi RSM MATANDA Mzee wa ng'ombe wa mayai.
Wapiiii RSM kikotiiiiiii mzee wa makamanda makamandaaaaaa haaahaaaa
835KJ, mgamboooo
 
Kayange walimleta 822kj mujibu 2018 alkuwa RSM wetu.. japo ana matusi kinoma
 
Mwanamke mzuri alikuwa ni MP alafu alikuwa analiwa na mshikaji flani wa kujitolea ambaye alikuwa doja maarufu

Maluten wote wa kike walikuwa na sura ngumu.

Kuna jamaa kipindi cha uzalendo alikuwa anavaa kiraia anapiga story na kuruti asubuhi hadi jioni lakini aiku tunafungua mafunzo nkamuona katupia sare kama za magereza ana minyota sijui zile sare ni za jeshi gani
Kulikuwa na luten mmoja anaroho nguvu hiv,haalafu kuna mmoja alikuwa na Noah mzuri sana
 
Back
Top Bottom