Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mkuu 2018 nlikuwa mujibu 822kj.. tulivyoenda Shabaha nilikuwa target namba moja,yani ile ilikuwa kama imepinda hivi na unaona kabisa imepinda lakini anamuuliza mkuu anakwambia,"kwahiyo unategemea adui atajiweka hapo mbele akwambie haya niue"[emoji2][emoji2].

Mpaka tunamaliza ile kitu details zaidi ya 40 haikupigwa na mtu.Lakini mule katikati watu wanapigiana kinoma,unakuta kidada hakina hata nguvu ya kubeba mashine et kimepiga tatu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka mbali Mgambo JKT, kabuku woiiiiiiiih.
 
Ni sahihii hiiki kisaa kishawah simuliwaa huko juuu[emoji1][emoji1]sasa cjajuwaa ndio yeye muhusikaa au kacopy na kupaste,,,,
[emoji1][emoji1]boss hizi kumbukumbu tungezitumia shuleni tungekuwa ma-TO
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usisahau kuni tag bas babee, ili nijionee kumbukumbu ilivyokua.
haaahaaa...nitakutagi mchumba...maana kuna wanga humu wanakuletea nuksi nataka niwazibe midomo..wasiuchuulie poua
 
Mkuu 2018 nlikuwa mujibu 822kj.. tulivyoenda Shabaha nilikuwa target namba moja,yani ile ilikuwa kama imepinda hivi na unaona kabisa imepinda lakini anamuuliza mkuu anakwambia,"kwahiyo unategemea adui atajiweka hapo mbele akwambie haya niue"😃😃.

Mpaka tunamaliza ile kitu details zaidi ya 40 haikupigwa na mtu.Lakini mule katikati watu wanapigiana kinoma,unakuta kidada hakina hata nguvu ya kubeba mashine et kimepiga tatu😂😂
Oyaaa 822kj umenikumbusha Kenge wa pakstani nyang'au moja hivi,captain teddy jicho nyanya😀,afande ntobi "wabaya watengwe"
 
Kila nayetaka kumpiga phumbu kimasihara naishia kupigwa mizinga!
Screenshot_20220411-164736.png
 
Kila nayetaka kumpiga phumbu kimasihara naishia kupigwa mizinga!
View attachment 2183940
Mwambie aje achukue geto, akifika mwambie awe mpole umemuita hela ipo! Nunua juice ya box ya elf 3, mmininie kwenye glass mpe anywe, akifikisha funda 2 chukua glass mwambie unatamani umnyweshe mwenyewe huwa wanakataa endelea kumuomba kwamba unataman sana umunyweshe juice walau fundo moja tu, atakubali, akisha kubali ila anameza tu mkiss nakumwambia asante kwa kukubalia kunywesha, kaa karibu nae msogolee, atavunga kusogea mbali, msogelee pia...mwambie toka afike hujamsalimia hivo unaomba umsalimie kwa kumkumbatia, ila akisimama ili umuhug umpe salama, mkisi shingoni, sikioni na mpapase makalio...atalegea utakula mzigo. Ukisha kula nwambie hela siku nyingine mtandao wa bank uko down
 
Back
Top Bottom