[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa tupu Mimi ni 2015 834kj. Aisee nikikumbuka siku hiyo huwa nacheka peke yangu. Dah ila huyo afande alikuwa hafai, kwamba anakwambia adui atakuja mbele akwambie niue![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Afande Chacha, hatari, chaula, mayai, daaaah Mambo ya shamba dunia kwa msanga,
Mabio Hadi majani mapana jirani na kabuku
Hahaha mamaeee we jamaa unawataja vizur mgambo aseee palijua nikausha nyege sikuwah waza kula mbususu zaid ya kuwaza kutoroka tu mujibu 20215
 
Kylikuwa kuna zoezi la kupandishiana mapaja begani .... mnawekeana mapaja na demu wala hudindishi hata kufikiria ujinga hamna unachowaza ni kupata upenyo wa kwenda kulala
Jamaa mmoja alikuja mwishon anaitwa msaga sum jamaa alikiwasha nikaonanjeshi ndo linaanza akat ilikua mwishon msaga sum
 
Unaongelea OP kikwete na huyo luten ni Mpume , Huyo aliyetoka Bulombola anaitwa Meja James.Huyo alitutesa sana , siku ya kwanza alitulisha doso uwanja wa damu kisa kuna mtu aliitika hovyo ruti ya mabio ilipotaka kuanza.
Yah mzee james jamaa alikuaja akafanya maisha mepesi kidgo kuna fala magere alitunyoosha danger coy had nkasema jeshi bas
 
Jamaa nlisikia ameenda kusoma sijui...!! James ukimuona ndo utajua wanajeshi wanatakiwa waweje yani noma sana.. Sisi yule manzi wa Danger kusema alitongozwa yule hasan kuomba msamaha mbele ya ngurutu ndo tuliponzekaa
Yule manzi alitusaidoa sanaa danger coy mana ndo ilikua xoy ya kifo mda ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…