Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Rais hujipangia ulinzi wake yeye mwenyewe eeh?
Kwa kiasi kikubwa namna ulinzi wa rais ulivyo inatokana na nature ya rais mwenyewe hasa hizi nchi zetu za dunia ya tatu. Nchi kama USA, UK and likes wana standards zao za ulinzi wa viongozi wao ambao ni ngumu kiongozi ku-influence.
 
wengi wameyaona mkuu, unless hao unaowasema sio wengi sio raia wa nchi hii??

hakuba utawala usio na makosa

JPM hakuwa mroho wa hela wala mtu wa bata na alijua atajifia muda si mrefu

Kama kuna blunder, weaknesa na anything bad....He did with good motive behind, inatosha kusema alikuwa na NIA njema hata kama ALIKOSEA approach
Kuna makosa ya kibinadamu ambayo ni rahisi kuyakubali lakini siyo makosa kama lile la Lissu kupigwa risasi au Ben Saanane ''kupotea'' na watu wengine kutekwa. Haya siyo makosa ya kawaida hata kidogo. Kuna makosa kama hili la kuacha watu wajifie wenyewe kwa corona huku akificha idadi ya vifo huku akitembea anatamba kuwa hakuna corona, siyo makosa ya kawaida. Kuna makosa kama la kuamuru wabunge karibu wote wa CCM wapewe ushindi kwa nguvu bila kujali uwezo wao, siyo kosa la kawaida.
 
Ulinzi wake si jukumu lake kupanga hakuna Rais yeyote anaelindwa na manati hata Papa analindwa na Bunduki itakuwa huyu anaetaka kutuamisha yeye ni bora na simple kuliko aliyepita?

Ogopa sana mtu anayepost kitu kwa kutaka like na postive feedback muogope sana huyo mtu mwenye ufahamu atajua nazungumzia nini
Asante, kwa ufafanuzi mzuri.
 
nimeuona msafara wake leo, Lile gari lenye minara ya mitandao yote ya simu Afrika mashariki na kati halikiwepo...
Mkuu dodoma ukipita msafara wake yapo yote kama kipindi cha magufuli labda uko dar halikuwepo kinachokosekana ni chopper tuu hewani
 
nimeuona msafara wake leo, Lile gari lenye minara ya mitandao yote ya simu Afrika mashariki na kati halikiwepo...
Lile gari linakula bando balaa ,limeshindwa kwenda na kas mganga ndugulile
 
Well said my friend!!!

Kuhusu Protocol ya ulinzi wake bado hakujakaa vizuri, mpangilio sio mzuri.

Kwa mfano, Rais anaposhuka kwenye ndege kunatakiwa mlinzi mmoja anakuwa front yake tofauti ilivyokuwa wakati anashuka kwenye ndege ambapo alijitanguliza mwenyewe.

Pia, mara zote ADC anatakiwa asiwe mbali na Rais, pia inatakiwa walinzi wa pembeni mwa Rais wanatakiwa wawe beneti na Rais sio kama wanavyofanya hao walinzi, wanaacha gape kubwa sana kiasi cha kwamba inakuwa rahisi kwa mtu mwenye nia mbaya kufanya mambo yake.

Kwa mara nyingine tena tunawaomba Idara ya ulinzi wa Rais - PSU kuweni makini na hilo Rais wetu bado tunamhitaji.

Asanten!!
ADC wa mama naona bado hajachangamka au hajamzoea boss anakaa nae mbali sana tofauti na yule ya JPM
 
Jiwe is gone forever msitake mama afanane naye hao ni watu wawili tofauti, na sijui kwanini unasema aruhusu baya sijui ufisadi blah blah, hamtaki hata waja tumpongeze, I believe mama Samia hata feli
Mama hawezi kufanana na jiwe, jiwe litabaki kuwa jiwe historia yake nzuri madhubuti imeishaandikwa kwenye mimbari
 
Daima tutakukumbuka Magu ulikomesha majizi...na mauza ngada
mengine yapo humu yanalia lia na kuponda...
tunayachora tu
 
Ulinzi wake si jukumu lake kupanga hakuna Rais yeyote anaelindwa na manati hata Papa analindwa na Bunduki itakuwa huyu anaetaka kutuamisha yeye ni bora na simple kuliko aliyepita?

Ogopa sana mtu anayepost kitu kwa kutaka like na postive feedback muogope sana huyo mtu mwenye ufahamu atajua nazungumzia nini
Sa kapost yeye au watu ndo wamepost? Mtampenda tu mama na chuki zenu binfsi,mlizoea kusifu kupitiliza ma hana taimu na kusifiwa!!😂😂
 
Daaah siwezi fungua Hii video aisee, maana ndungulile ameshapiga marufuku kufungua video
 
Watu tuna chukulia poa ulinzi wa rais. Eti alindwe na watu wachache daah inaonyesha n jinsi gan hatujui ulinzi wa rais ulivo wa muhimu.

Waulize wamaeekani baada ya rais wao Kennedy kupigwa risas akihutubia walidhamiria nn kuhusu kumlinda rais.

Ijulikane tu kwamba ulinz wa rais anaweza kuwa mtu mmoja hapo lakin walizi wasio onekana n wengi kuliko wanaoonekana.

Tatizo tuko dunia ya tatu ambayo ulinzi wetu tunataman kuuona kuliko teknologia zaid.
 
Sikuwa na chuki naye kama mtu...

Nilikuwa nachukia sana aina na style ya uongozi wake wa kibabe..

Niliichukia zaidi serikali yake na yeye mwenyewe kama Rais kiongozi mwenye dhamana na uhai na ustawi wa watu pale ambapo ushahidi wa kimazingira unathibitisha bila hata chembe ya shaka kuwa ilihusika na jaribio la kutaka kumuua Tundu Lissu..!!

Huo ulikuwa unyama na ushenzi uliovuka mipaka ya ubinadamu...!!

Sijui kama kabla ya kufa kwake aliitubu dhambi hii mbaya kabisa...
Nasikia alifanya toba na aliyengiza toba ni Pengo. Sijui kweli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani
V8 zote zile kumwaga moto Dar Dom wese lake si ajabu ikawa cheaper kutumia ndege.

To top it off, kuna helicopter inaongozana na msafara wa rais mwanzo mwisho. Usiisahau katika mahesabu.

Jumlisha na usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara. Muda unaopotea.

Rais asafiri na ndege au helicopter, full stop.
 
Exactly
Mnahangaika mno kutaka kuonyesha kwamba huyu anafanana na "Yule".

Ukweli ambao uko Wazi ni Kwamba hulka zao na matendo yao hayafanani.

Hapo pichani anaonekana Mlinzi mmoja mwenye Silaha lakini hakika ni Kwamba katika eneo hilo hilo angekua ni Hayati tungewaona walinzi wengi wenye masilaha hayo Makubwa.
 
Back
Top Bottom