Na helikopta mbili anganiKuna wakati Mh wa zamani alikuwa na msafara wa gari 75
Naona tena mmeanza kubadili mbinu na mafananisho..🤣🤣Yaani ulinganishe ulinzi wa Samia na ule wa Magufuli? Linganisha ulinzi wa Magufuli na wa Saddam Hussein.
DADEKI..😅Na helikopta mbili angani
Hamjawahi kuona zuri la mtu hata moja nyie!Wewe ni mwimba mapambio tu wa magu... Unapambana kumringanisha mama na dikteta...
Sio la mtu, sema magu... Magu sijawahi ona jema lake...Hamjawahi kuona zuri la mtu hata moja nyie!
Mbowe jana nae kalizungumza ilo kwa upande wa Hayati naye anaamini eti ao ni wanajeshi wa nchi nyingine...Jiwe alisemwa sana juu ya wale walinzi wake wenye mitutu huku wakisema mama hana ulinzi wa namna hiyo!...
Have a good day mkuu.Sio la mtu, sema magu... Magu sijawahi ona jema lake...
Nashukuru Mungu kamwita mapema sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Have a bad day ...ikikupendeza kafagie kaburiHave a good day mkuu.
Mungu hajamwita mapema, amemwita kwa wakati muafaka. God's timing is always perfect!Sio la mtu, sema magu... Magu sijawahi ona jema lake...
Nashukuru Mungu kamwita mapema sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha! Ni kawaida ktk michezo ya kisiasa mkuu hata yeye akija kushika hiyo nyadhifa utamuona nao ila kwasasa kwakuwa mtu anaweza kuchukua kama semeleo!Mbowe jana nae kalizungumza ilo kwa upande wa Hayati naye anaamini eti ao ni wanajeshi wa nchi nyingine...
Ewaaa.... Hapo hapo mkuuMungu hajamwita mapema, amemwita kwa wakati muafaka. God's timing is always perfect!
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay.
Mkalimani wa taifa nisaidie hapa kumuelewesha huyu..😂Kabla hatujalifunga embu tuambie kwanza lisk ndio kitu gani? Rip mwendazake