Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Twende na ukweli kulindwa hivyo moyoni unajiskia fahari sema tu mnabisha🚶🚶🚶
 
Mimi namchukia Samia?

Really?
Sijasema mimi hivyo, fuatilia mjadala vizuri...

Nilikuwa naongea na Mina Cute ambaye yeye ndiye anayedhani kuwa you hates Mama Samia kwa sababu mwendazake ni nasaba yako kikabila kwa maana ya usukuma wenu (japo mimi sijui pia kama wewe ni msukuma)

Mimi nimemkatalia hilo kumwambia asiwaweke wasukuma wote kwenye kapu la namna hiyo unless akutolee reference wewe pekee (I hope mnajuana na Mina Cute)..
 
Mnahangaika mno kutaka kuonyesha kwamba huyu anafanana na "Yule".

Ukweli ambao uko Wazi ni Kwamba hulka zao na matendo yao hayafanani.

Hapo pichani anaonekana Mlinzi mmoja mwenye Silaha lakini hakika ni Kwamba katika eneo hilo hilo angekua ni Hayati tungewaona walinzi wengi wenye masilaha hayo Makubwa.
 
Walinzi wako unawatafuta kwa manati hadi uzungushie vimuduala ili MTU zone kwa Jicho mmoja,mbona kipindi cha Magufuli hata kwa nukta nundu unawaona.
 
Magufuli unaweza fikiri kuwa yupo vitani!
665432.jpg
0009.jpg
54211.jpg
 
Closet fag anawashwawashwa na wanaume wenzake. Wiki nzima kashupaa na bodyguards wa Marais. Ultimate alpha males kwake.
 
Huyo uliyezungumshia ktk picha za screen shots, mimi naona ni kama huyo huyo mtu mmoja ktk position tofauti tofauti...

Anyway it doesn't matter.

And it's normal kwa Rais kulindwa na kuhakikisha usalama wake, though kwa Mwendazake it was too much. Ni kama vile alikuwa haamini ktk Mungu..

Na huyu mama (in my opinion) anapaswa kuongezewa ulinzi zaidi kwa sbb baadhi wahafidhina wa CCM hawataki na hawakutaka ashike madaraka haya baada ya Mwendazake kwenda zake...

So likely, they can do anything to harm Madam President Samia Suluhu Hassan...
Well said my friend!!!

Kuhusu Protocol ya ulinzi wake bado hakujakaa vizuri, mpangilio sio mzuri.

Kwa mfano, Rais anaposhuka kwenye ndege kunatakiwa mlinzi mmoja anakuwa front yake tofauti ilivyokuwa wakati anashuka kwenye ndege ambapo alijitanguliza mwenyewe.

Pia, mara zote ADC anatakiwa asiwe mbali na Rais, pia inatakiwa walinzi wa pembeni mwa Rais wanatakiwa wawe beneti na Rais sio kama wanavyofanya hao walinzi, wanaacha gape kubwa sana kiasi cha kwamba inakuwa rahisi kwa mtu mwenye nia mbaya kufanya mambo yake.

Kwa mara nyingine tena tunawaomba Idara ya ulinzi wa Rais - PSU kuweni makini na hilo Rais wetu bado tunamhitaji.

Asanten!!
 
Back
Top Bottom