Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani
Huyo ni mwanamke na ni mama mtu mzima sio sawa na mwanaume anayepiga push-ups.
hata iweje mwanamke hawezi kufikia uwezo wa mwanaume kwenye swala endurance na strength.

hivyo kamwe hawapaswi kulinganishwa.
 
Mlinganisho mzuri ungeweka na lile picha la Magufuli na mabunduki yake akitokea kwenye uwanja wa Nyamagana; akienda kununua karanga za kuchemsha mitaani.

Unajitahidi sana kusafisha yasiyoweza kusafishika.

Itabidi tu wakati fulani ukubali mtu wako alikuwa na ulimbukeni, kama wako ulivyo.
yule kiongozi alikuwa na maadui wengi kila sehemu sasa cha ajabu nini kuwa na ulinzi wa kutosha?

Hakuna ulimbukeni kwenye swala la ulinzi wa kiongzi wa nchi.
 
Mnajaribu kulazimisha mambo hivi ni kwa faida ya nani au ili jamaa ionekane mambo iliyokuwa anafanya ni ya kawaida matateseka sana mama hana makuu
Umemuona mmoja tu na sio kwamba yupo mmoja tu.
 
Hapana. Kuna mmoja nimeweka screenshots mbili.

Lakini kuna mwingine tofauti na huyo, nimeiweka screeshot yake pia.

Na kuna ingine ya mwingine pia.
Hadi wewe mwenyewe unatoa maelezo ya wangapi, mwingine sijui alikuwa wapi!!!! Kwa Mwendazake wala usingepata shida kueleza hivi!
 
yule kiongozi alikuwa na maadui wengi kila sehemu sasa cha ajabu nini kuwa na ulinzi wa kutosha?

Hakuna ulimbukeni kwenye swala la ulinzi wa kiongzi wa nchi.
Kwani wengine hawana ulinzi, mbona hatuoni mabunduki yanawazunguka nje nje hata mahali yasipotakiwa kuwepo.

Ile ilikuwa ni 'show' tu ya kujionyesha.

Huko ndiko tunakokuita "ulimbukeni."
 
Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa.

Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi.

Hao huitwa Counter Assault Team. Hao ndo wapiganaji ikitokea Rais anashambuliwa kwa silaha. Wale wanaovaa suti kazi yao si kupigana na adui. Kazi yao ni kuhakikisha rais yuko salama kwa kumkinga [taking the bullet for the president] au kumuondosha kwenye eneo lenye hatari.

Leo Rais Samia katua kwenye uwanja wa ndege Dar.

Chini naweka video. Lakini kabla yake, naweka screenshots za video zinazoonyesha hao watu wa counter assault walikuwepo na mabunduki yao.

Kuna watu walishaanza kusema eti Rais Samia hana walinzi kama hao kama ilivyokuwa kwa Magufuli.

Pia, Rais huwa hajipangii ulinzi wale mwenyewe. Ulinzi wake hupangwa na wataalamu kulingana na vigezo vingi ikiwemo eneo alipo, hali ya usalama wa eneo kwa ujumla, na mambo mengineyo.

Ona huyu na huo mbunduki wake:
View attachment 1742313

View attachment 1742314

Huyu pia ni mwingine akiwa pembezoni kidogo.
View attachment 1742316

Video hii hapa;

Hao raia wamebebelea mabunduki makubwa hawana hata bullet proofs.Watakufa kizembe.
 
I don't know how did they succeed to fix him despite such tense security...[/QUOTE]

Did they ?? Are these rumors or facts ??
 
Sukuma gang kwisha kazi
Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa.

Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi.

Hao huitwa Counter Assault Team. Hao ndo wapiganaji ikitokea Rais anashambuliwa kwa silaha. Wale wanaovaa suti kazi yao si kupigana na adui. Kazi yao ni kuhakikisha rais yuko salama kwa kumkinga [taking the bullet for the president] au kumuondosha kwenye eneo lenye hatari.

Leo Rais Samia katua kwenye uwanja wa ndege Dar.

Chini naweka video. Lakini kabla yake, naweka screenshots za video zinazoonyesha hao watu wa counter assault walikuwepo na mabunduki yao.

Kuna watu walishaanza kusema eti Rais Samia hana walinzi kama hao kama ilivyokuwa kwa Magufuli.

Pia, Rais huwa hajipangii ulinzi wale mwenyewe. Ulinzi wake hupangwa na wataalamu kulingana na vigezo vingi ikiwemo eneo alipo, hali ya usalama wa eneo kwa ujumla, na mambo mengineyo.

Ona huyu na huo mbunduki wake:
View attachment 1742313

View attachment 1742314

Huyu pia ni mwingine akiwa pembezoni kidogo.
View attachment 1742316

Video hii hapa;

Jiwe alisemwa sana juu ya wale walinzi wake wenye mitutu huku wakisema mama hana ulinzi wa namna hiyo!

Ktk moja ya uzi humu nilikomenti ya kuwa waache fikra hizo hii inamaana ulinzi wa rais umebadilika lkn watanzania wengi bado hawajabadilika kukubaliana na hilo!

Wanataka marais waliopita na wasasa wawe na ulinzi uleule kitu ambacho ni very lisk maana hata adui kila siku nae huwa anabadilika!.

Mama akiwa anarejea kutoka Uganda walinzi wa aina ileile waliokuwa wakisemwa vibaya wakati wa hayati wameonekana wakiwa na mama pia video hii hapa.

Haya wale wasemaji waliokuwa wakinena mara hivi mara vile nafikiri ni muda wa kulifunga hili na kufanya vyengine.
 
Ulitakwa alindwe na kigoma cha kizaramo au? Mbona ulinzi wa kawaida kabisa huo kama wa bashite tu
Sidhani Kama umeelewa uzi! Ipo hivi Kuna watu humu walikuwa wakiusema vibaya ulinzi wa hayati haswa hao jamaa wenye mitutu!,alipoingia rais Samia kwa Mara ya kwanza alikuwa akionekana na ulinzi wa kawaida I mean hao ambao hawana mitutu.. wakaanza kusifu na kumsema vibaya hayati na Kama ulifatilia hata jana ktk hotuba ya mbowe aliligusia swala hili la hayati kuwa na ulinzi ule!

Sasa mama pia ambae alikuwa anaonekana anaulinzi smart Sasa nae anaowalinzi walewale wenye mitutu! Sasa napo waseme.. watu hawataki kukubaliana na mabadiliko haya ya safu ya ulinzi wa rais ilifika kipindi wakaanza kuzusha kuwa ni wakutoka nchi za nje!!!
Watanzania tunamtindo wa kuzusha mambo hata Kama hatuna hakika.

Binafsi sikuwahi kuwa na shaka na ulinzi huu isipokuwa nilichokuwa najua ni kwamba ulinzi wa rais unaprotokali zake inapobidi kuwepo hao jamaa basi watakuwepo na pale ambapo haibidi basi hawata kuwepo.

Hivyo Basi kwakuwa mama pia ameonekana kuwa na ulinzi huo sasa tufunge mjadala na kukubaliana na mabadiliko haya ya ulinzi wa rais maana wao mpk kufanya hivyo ndio wanaojua hali yao ya kwanini wafanye hivyo na sio sisi waonaji tu.
 
Jiwe alisemwa sana juu ya wale walinzi wake wenye mitutu huku wakisema mama hana ulinzi wa namna hiyo!

Ktk moja ya uzi humu nilikomenti ya kuwa waache fikra hizo hii inamaana ulinzi wa rais umebadilika lkn watanzania wengi bado hawajabadilika kukubaliana na hilo...
Yaani ulinganishe ulinzi wa Samia na ule wa Magufuli? Linganisha ulinzi wa Magufuli na wa Saddam Hussein.
 
Back
Top Bottom