Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Sawa lakini mama hajawahi kujimwambafy kama mwendazake aka kiongozi wa malaika.
 
Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa.

Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi.

Hao huitwa Counter Assault Team. Hao ndo wapiganaji ikitokea Rais anashambuliwa kwa silaha. Wale wanaovaa suti kazi yao si kupigana na adui. Kazi yao ni kuhakikisha rais yuko salama kwa kumkinga [taking the bullet for the president] au kumuondosha kwenye eneo lenye hatari.

Leo Rais Samia katua kwenye uwanja wa ndege Dar.

Chini naweka video. Lakini kabla yake, naweka screenshots za video zinazoonyesha hao watu wa counter assault walikuwepo na mabunduki yao.

Kuna watu walishaanza kusema eti Rais Samia hana walinzi kama hao kama ilivyokuwa kwa Magufuli.

Pia, Rais huwa hajipangii ulinzi wale mwenyewe. Ulinzi wake hupangwa na wataalamu kulingana na vigezo vingi ikiwemo eneo alipo, hali ya usalama wa eneo kwa ujumla, na mambo mengineyo.

Ona huyu na huo mbunduki wake:
View attachment 1742313

View attachment 1742314

Huyu pia ni mwingine akiwa pembezoni kidogo.
View attachment 1742316

Video hii hapa;

Duuuh, hajawekewa red kapeti.
 
It's OK, only if those are security procedures & protocols..

Hata hivyo kwa Mwendazake it was too much. Nadhani hofu ya kivuli cha "mabeberu" ilikuwa inamtesa sana hata kujiona hayuko salama muda wote...

I don't know how did they succeed to fix him despite such tense security...
They didn’t fix him. He fixed himself by playing games with ronaaa
 
Magufuli alikuwa zaidi ya kichaa
 
Kuhusu kuziba mianya ya kupiga fedha hata mimi nakubali kuwa alifanya vizuri sana. Tatizo ni kwamba alikuwa na weaknesses nyingine ambazo ziliondoa hayo mazuri yake yote. Mimi huwa nakiri hata kama ni mambo ya uzalendo alikuwa mzalendo kweli kweli. Hayo makandokando mengine ndiyo yalifanya hata yale mazuri yasionekane na watu wengi.

wengi wameyaona mkuu, unless hao unaowasema sio wengi sio raia wa nchi hii??

hakuba utawala usio na makosa

JPM hakuwa mroho wa hela wala mtu wa bata na alijua atajifia muda si mrefu

Kama kuna blunder, weaknesa na anything bad....He did with good motive behind, inatosha kusema alikuwa na NIA njema hata kama ALIKOSEA approach
 
Mazingira ya Afrika yamebadilika sasa. Yale mambo ya kupindua nchi au kuua marais kwa risasi yamepungua sana. Magufuli aliweka walinzi wa kuogofya na wako very aggressive kwa umati wa watu lakini akapuuza kujilinda na virus. Kilichomwondoa siyo shambulio la bundiki bali ni virus!
Rais hujipangia ulinzi wake yeye mwenyewe eeh?
 
nashauri tujadili mambo mengine mazito zaidi...........suala hili la ulinzi limeshasemwa kuwa si jukumu la raisi kupanga! isitoshe, kwangu mimi, si sifa raisi kuwa na ulinzi legelege; hakuna kiongozi mkuu anaekosa maadui abadan!!!!
Anzisha uzi wa mambo mazito mkuu..
 
Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani
Ninyi ndio wahafidhina wapuuzi wa ccm, msije kutuulia mama yetu. Tutamlinda sisi wananchi mkishindwa kumlinda. Ngoja mama atunyoshee wapenda mteremko
 
It's OK, only if those are security procedures & protocols..

Hata hivyo kwa Mwendazake it was too much. Nadhani hofu ya kivuli cha "mabeberu" ilikuwa inamtesa sana hata kujiona hayuko salama muda wote...

I don't know how did they succeed to fix him despite such tense security...
Is this true that the very great man was fixed or was natural fixation ?
 
Jiwe is gone forever msitake mama afanane naye hao ni watu wawili tofauti, na sijui kwanini unasema aruhusu baya sijui ufisadi blah blah, hamtaki hata waja tumpongeze, I believe mama Samia hata feli

Hakuna rais alipendwa nchi hii kabla ya kuwa madarakani kama JK

Ukisema hatafeli unakuwa UNREALISTIC AND GULLIBLE

Ni binadamu huyu ni malaika?? mbona umejivika mzigo mkubwa sana?

Muhammad na Yes bado walilaumiwa na kuchukiwa sio?

sasa huyu unaanzaje kuongea statement za kitoto? alikuwa makamu YES, yuko CCM? Yes, anatekeleza ilani ya CCM yes? alipigiwa kura na JPM Yes, ....

sasa chuki zako kwa JPM usiparamie kila mtu hovyo tu, just be genuine...akikosea kosoa kwa adabu na heshima, akipatia sifia kwa staha pia
 
Ungesema Nyani Ngabu hates mama, may be it could sound easier and better..

Lakini kuwaweka wasukuma wote kapu moja kama haters wa Mama and lovers wa Mwendazake, it's totally wrong...

Millions of sukuma didn't like Jiwe. They hated him more than empty words can describe. He destroyed the lives of many of them..

Mimi niko Mwanza usukumani, I know what I am saying...
usijali kaka angu,jiwe hakuwa msukuma yule,watani zangu wasukuma ni waungwana
 
Back
Top Bottom