Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Mlinganisho mzuri ungeweka na lile picha la Magufuli na mabunduki yake akitokea kwenye uwanja wa Nyamagana; akienda kununua karanga za kuchemsha mitaani.

Unajitahidi sana kusafisha yasiyoweza kusafishika.

Itabidi tu wakati fulani ukubali mtu wako alikuwa na ulimbukeni, kama wako ulivyo.
Huyo mchimbachumvi haishiwi vituko .

Anadhani bado tuko awamuza mwendazake.

Ana obsession mbaya Sana na mwendazake.

Halafu Ni linafiki Fulani la ajabu ajabu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Ulinzi wa JPM uliimarika baada ya kuanza kuwatia adabu majizi. Kumbuka siku moja tu baada ya kuapishwa alitembea kwa miguu toka Ikulu Magogoni mpaka wizara ya fedha.

Ni suala la muda tu.
Kuna mtu ameliibia Taifa hili kama Magufuli???Subiri muda utaongea....Tunaanda ma-File
 
Mpaka sasa hatujaona Ulinzi kama wa Magufuli
mtakuja kuutamani wakati ni too late. nchi hii ina mabandidu wengi sana wapo kwa ajili ya kutaka kuitafuna nchi tena mbaya zaidi wengine ni viongozi waandamizi. ukiwa na rais legelege ujue mmekwisha.
 
Inaonekana haushi Tanzania, sisi wanyonge ndio tunajua kaaa kimya....wakutafuta hivyo? tuletee sasa na ule wa mtetezi wetu wa wanyonge tuone..
 
Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani
Unafanya masikhara Na umbali wa Dodoma - Dar kwa gari. Na ni juzi tu ametoka kuzunguka Na mwili wa marehemu sehemu kibao
 
Hakuna rais alipendwa nchi hii kabla ya kuwa madarakani kama JK

Ukisema hatafeli unakuwa UNREALISTIC AND GULLIBLE

Ni binadamu huyu ni malaika?? mbona umejivika mzigo mkubwa sana?

Muhammad na Yes bado walilaumiwa na kuchukiwa sio?

sasa huyu unaanzaje kuongea statement za kitoto? alikuwa makamu YES, yuko CCM? Yes, anatekeleza ilani ya CCM yes? alipigiwa kura na JPM Yes, ....

sasa chuki zako kwa JPM usiparamie kila mtu hovyo tu, just be genuine...akikosea kosoa kwa adabu na heshima, akipatia sifia kwa staha pia
Kila Raisi hupendwa kwa nafasi yake ila nyie follower wajiwe mna force Mambo ya mama yawe sawa as if watu walivompokea vizuri mnataka ulinganisho Mara baadae watu wataanza kumshambulia na blah blah kibao.
Hafu jakaya uongozi wake ulikuwa mzuri aliajiri maelfu ya vijana, mzunguko ulikuwa mkubwa wa hela, biashara zilitaradi kila Kona, democracia na Uhuru vilikua ndio maana watu walitoa ya moyoni waziwazi bila kutekwa, pia sector binafsi ilikuwa Sana tofauti na mwendazake, so msitake kumtakia mama eti asisifiwe kisa baadae wakosoaji watamsema. Mwendazake alianza vizuri mwaka wake wa kwanza Hadi upinzani ukakosa agenda, Ila alipoanza mauza uza raia wakapaza sauti ingawa wengine walipotea.
So kila Raisi ana mazuri na mabaya yake, ila mabaya yakizidi raia tutaongea hata kwa mama
 
kama unausifia utawala wa JK....nina nini cha kujadili na wewe?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani
Raisi ana majukumu mengi muhimu kuliko kupoteza muda barabarani kufanya maigizo na 'wanyonge' ambayo hayana faida yoyote kwa nchi.

Hayo ya barabarani ni mambo madogo ya kumalizwa na ma dc,ndiyo maana ya delegation of duties. Siyo sahihi raisi kushughulika na petty issues!
 
Nyani . Ukubali jamaa harudi tena 6 feet under. Ulindwe kawaida au kwa mbwembwe kumbe bado virus vya maleria, vya Corona, vya hiv nk. vinaweza vikawavuka walinzi na mtu akalazwa chali. Nyani Ngabu

Odhis *
Kwani hapa tunajadili ufufuo wake? We vipi wewe!!!
 
Hata hivyo walinzi wooote wa Jiwe walishinikiza kumzuia na kifo.
Kama Mungu hakutaka kumlinda Walikua wanakesha bure.
Lisu hakua na mlinzi yoyote zaidi ya dereva wake akapigwa "masasi' mengi lakini hakufa kwa sbabu Mungu hakutaka afe.
Dunia iache Kama ilivyo na Mungu wacha aitwe Mungu.
Ni mmoja tu. Mpaka sasa hatujaona Ulinzi kama wa Magufuli
 
Back
Top Bottom