Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Huyo uliyezungumshia ktk picha za screen shots, mimi naona ni kama huyo huyo mtu mmoja ktk position tofauti tofauti...

Anyway it doesn't matter.

And it's normal kwa Rais kulindwa na kuhakikisha usalama wake, though kwa Mwendazake it was too much. Ni kama vile alikuwa haamini ktk Mungu..

Na huyu mama (in my opinion) anapaswa kuongezewa ulinzi zaidi kwa sbb baadhi wahafidhina wa CCM hawataki na hawakutaka ashike madaraka haya baada ya Mwendazake kwenda zake...

So likely, they can do anything to harm Madam President Samia Suluhu Hassan...
Wewe umeongea na wana ccm wote na kuona baadhi hawataki?
 
Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa.

Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi.

Hao huitwa Counter Assault Team. Hao ndo wapiganaji ikitokea Rais anashambuliwa kwa silaha. Wale wanaovaa suti kazi yao si kupigana na adui. Kazi yao ni kuhakikisha rais yuko salama kwa kumkinga [taking the bullet for the president] au kumuondosha kwenye eneo lenye hatari.

Leo Rais Samia katua kwenye uwanja wa ndege Dar.

Chini naweka video. Lakini kabla yake, naweka screenshots za video zinazoonyesha hao watu wa counter assault walikuwepo na mabunduki yao.

Kuna watu walishaanza kusema eti Rais Samia hana walinzi kama hao kama ilivyokuwa kwa Magufuli.

Pia, Rais huwa hajipangii ulinzi wale mwenyewe. Ulinzi wake hupangwa na wataalamu kulingana na vigezo vingi ikiwemo eneo alipo, hali ya usalama wa eneo kwa ujumla, na mambo mengineyo.

Ona huyu na huo mbunduki wake:
View attachment 1742313

View attachment 1742314

Huyu pia ni mwingine akiwa pembezoni kidogo.
View attachment 1742316

Video hii hapa;

Hii mbona cha mtoto! Na hii ni kwa sababu bado kasumba ya enzi za Magufuli haijawatoka kichwani.
 
Leo sijui wale jamaa watasemaje...
Rais analindwa na ulinzi unaoonekana na ulinzi usioonekana
Mungu aendelee kumtunza na kumlinda rais wetu
sasa mbona ule wa kuonekana wa jpm watu walikua wanatoka povu?
 
Ulinzi wake si jukumu lake kupanga hakuna Rais yeyote anaelindwa na manati hata Papa analindwa na Bunduki itakuwa huyu anaetaka kutuamisha yeye ni bora na simple kuliko aliyepita?
Anatuaminisha wapi wacha majunguu mama wawatu kapoa sana
 
Nafikiria waboreshe zaidi Intelligencia ya ndani kuliko huku public. It appears like maadui wapo ndani kuliko huku nje. Haiwezekani Rais anaondoka/lewa kirahisi vile

uko sahihi sana
 
Yale ya magu yalikuwa mbwembwe tu makirikiri kama wote yaani ilikua kufuru ili aogopwe ,mtu unatembea na batalion nzima na huku uko nchini kwako tena nchi salama kama ya kwetu, sishangai madikteta wengi ndio walivyo
 
Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani
Endelea kumkumbuka na hatarudi tena kisha usipende kumlinganisha mama na hayati hawafanani na hawatafanana huyo aliyetembea kwa gari kafanya nini kipya zaidi ya deni la taifa kuongezeka kwa kasi ndani ya miaka 6 kuzidi Mkapa na Jakaya waliokaa miaka 10 Madarakani
 
Msafara wa jiwe ulikuwa na magari mangapi?
Anaposimamaisha shughuli za watu ili apite unafahamu ni usumbufu na hasara kiasi gani?
Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani
 
Lakini anaweza kuwa Rais poa kabisa, akawa poa kwa kila mtu nchini na nje ya nchi

akiruhusu kila mfanya baya, ufisadi, cartel, wahujumu uchumi wote wakawa rafiki zake...atahitaji ulinzi wa nini?

Kusema rais asiwe na ulinzi ni sawa na kusema ni Rais Poa

sasa najua na nina uhakika 99% ya wafuata mkumbo humu, ant-JPM hamtafaidika na hayo makundi

Itoshe kusema effect ya JPM kuziba mianya ya kula hela, itaendelea tu kuwaumiza...na kila mnapokosa hela lazima mtamkumbuka mwamba, kamanda, jiwe, mzee wa maamuzi.

Mwamba kalala, kafanya wajibu wake kwa uaminifu
 
Mlinganisho mzuri ungeweka na lile picha la Magufuli na mabunduki yake akitokea kwenye uwanja wa Nyamagana; akienda kununua karanga za kuchemsha mitaani.

Unajitahidi sana kusafisha yasiyoweza kusafishika.

Itabidi tu wakati fulani ukubali mtu wako alikuwa na ulimbukeni, kama wako ulivyo.
Yaani mtoa mada ni limbukeni?
 
Mtahamisha sana magoli.
Mazingira ya Afrika yamebadilika sasa. Yale mambo ya kupindua nchi au kuua marais kwa risasi yamepungua sana. Magufuli aliweka walinzi wa kuogofya na wako very aggressive kwa umati wa watu lakini akapuuza kujilinda na virus. Kilichomwondoa siyo shambulio la bundiki bali ni virus!
 
Naam.

Bora umetoa ukakasi maana wafuasi wa Mburahati wanapotoshwa tu
 
Uliona kwa Magufuli ilikuwa ni too much kwa sababu ulikuwa na chuki dhidi yake.

Ukiyaona kwa Rais Samia utaona ni poa tu, kwa sababu labda bado hujaanza kumchukia.

Chuki hughubika akili.
Sikuwa na chuki naye kama mtu...

Nilikuwa nachukia sana aina na style ya uongozi wake wa kibabe..

Niliichukia zaidi serikali yake na yeye mwenyewe kama Rais kiongozi mwenye dhamana na uhai na ustawi wa watu pale ambapo ushahidi wa kimazingira unathibitisha bila hata chembe ya shaka kuwa ilihusika na jaribio la kutaka kumuua Tundu Lissu..!!

Huo ulikuwa unyama na ushenzi uliovuka mipaka ya ubinadamu...!!

Sijui kama kabla ya kufa kwake aliitubu dhambi hii mbaya kabisa...
 
Lakini anaweza kuwa Rais poa kabisa, akawa poa kwa kila mtu nchini na nje ya nchi

akiruhusu kila mfanya baya, ufisadi, cartel, wahujumu uchumi wote wakawa rafiki zake...atahitaji ulinzi wa nini?

Kusema rais asiwe na ulinzi ni sawa na kusema ni Rais Poa

sasa najua na nina uhakika 99% ya wafuata mkumbo humu, ant-JPM hamtafaidika na hayo makundi

Itoshe kusema effect ya JPM kuziba mianya ya kula hela, itaendelea tu kuwaumiza...na kila mnapokosa hela lazima mtamkumbuka mwamba, kamanda, jiwe, mzee wa maamuzi.

Mwamba kalala, kafanya wajibu wake kwa uaminifu
Jiwe is gone forever msitake mama afanane naye hao ni watu wawili tofauti, na sijui kwanini unasema aruhusu baya sijui ufisadi blah blah, hamtaki hata waja tumpongeze, I believe mama Samia hata feli
 
Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa.

Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi.

Hao huitwa Counter Assault Team. Hao ndo wapiganaji ikitokea Rais anashambuliwa kwa silaha. Wale wanaovaa suti kazi yao si kupigana na adui. Kazi yao ni kuhakikisha rais yuko salama kwa kumkinga [taking the bullet for the president] au kumuondosha kwenye eneo lenye hatari.

Leo Rais Samia katua kwenye uwanja wa ndege Dar.

Chini naweka video. Lakini kabla yake, naweka screenshots za video zinazoonyesha hao watu wa counter assault walikuwepo na mabunduki yao.

Kuna watu walishaanza kusema eti Rais Samia hana walinzi kama hao kama ilivyokuwa kwa Magufuli.

Pia, Rais huwa hajipangii ulinzi wale mwenyewe. Ulinzi wake hupangwa na wataalamu kulingana na vigezo vingi ikiwemo eneo alipo, hali ya usalama wa eneo kwa ujumla, na mambo mengineyo.

Ona huyu na huo mbunduki wake:
View attachment 1742313

View attachment 1742314

Huyu pia ni mwingine akiwa pembezoni kidogo.
View attachment 1742316

Video hii hapa;

Aina gani ya ndege hiyo
 
Lakini anaweza kuwa Rais poa kabisa, akawa poa kwa kila mtu nchini na nje ya nchi

akiruhusu kila mfanya baya, ufisadi, cartel, wahujumu uchumi wote wakawa rafiki zake...atahitaji ulinzi wa nini?

Kusema rais asiwe na ulinzi ni sawa na kusema ni Rais Poa

sasa najua na nina uhakika 99% ya wafuata mkumbo humu, ant-JPM hamtafaidika na hayo makundi

Itoshe kusema effect ya JPM kuziba mianya ya kula hela, itaendelea tu kuwaumiza...na kila mnapokosa hela lazima mtamkumbuka mwamba, kamanda, jiwe, mzee wa maamuzi.

Mwamba kalala, kafanya wajibu wake kwa uaminifu
Kuhusu kuziba mianya ya kupiga fedha hata mimi nakubali kuwa alifanya vizuri sana. Tatizo ni kwamba alikuwa na weaknesses nyingine ambazo ziliondoa hayo mazuri yake yote. Mimi huwa nakiri hata kama ni mambo ya uzalendo alikuwa mzalendo kweli kweli. Hayo makandokando mengine ndiyo yalifanya hata yale mazuri yasionekane na watu wengi.
 
Back
Top Bottom