KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,809
- 86,647
Mkuu ahsante ndo nipo hivyo..š¤£Hivi una akili timamu wewe? Unafanana na yale matoto majingajinga yanayolia hovyo hovyo hata kuku akidonoa chakula chake!
Mkuu ahsante ndo nipo hivyo..š¤£Hivi una akili timamu wewe? Unafanana na yale matoto majingajinga yanayolia hovyo hovyo hata kuku akidonoa chakula chake!
Ndiyo! Mkuu wa wilaya analindwa na bunduki sembuse Rais!Mkuu ahsante ndo nipo hivyo..š¤£
Ukiondoa hao, mama anaweza kutembea kwa mguu kutoka Posta mpaka kibaha bila ulinzi wowote na asidhurike. Sanasana vijana watakuwa pembeni yake kumsindikiza kwa furaha.Wajameni kama wameletwa na bosi wao jana hiyo hiyo mama awafurushe?
Ukweli mchungu mama anakubalika sana. Kama ni kujilinda zaidi ni dhidi ya wale ambao bado hawataki kuamini hii ni awamu ya sita.
Hiiiiii bagosha!
Ukiondoa hao, mama anaweza kutembea kwa mguu kutoka Posta mpaka kibaha bila ulinzi wowote na asidhurike. Sanasana vijana watakuwa pembeni yake kumsindikiza kwa furaha.
Haha ngosha jamaa amekuchoma sana mpaka unamfananisha na matoto ya kisukuma yanayolialia hivyoHivi una akili timamu wewe? Unafanana na yale matoto majingajinga yanayolia hovyo hovyo hata kuku akidonoa chakula chake!
Magufuli afwile goSidhani Kama umeelewa uzi! Ipo hivi Kuna watu humu walikuwa wakiusema vibaya ulinzi wa hayati haswa hao jamaa wenye mitutu!,alipoingia rais Samia kwa Mara ya kwanza alikuwa akionekana na ulinzi wa kawaida I mean hao ambao hawana mitutu.. wakaanza kusifu na kumsema vibaya hayati na Kama ulifatilia hata jana ktk hotuba ya mbowe aliligusia swala hili la hayati kuwa na ulinzi ule!
Sasa mama pia ambae alikuwa anaonekana anaulinzi smart Sasa nae anaowalinzi walewale wenye mitutu! Sasa napo waseme.. watu hawataki kukubaliana na mabadiliko haya ya safu ya ulinzi wa rais ilifika kipindi wakaanza kuzusha kuwa ni wakutoka nchi za nje!!!
Watanzania tunamtindo wa kuzusha mambo hata Kama hatuna hakika.
Binafsi sikuwahi kuwa na shaka na ulinzi huu isipokuwa nilichokuwa najua ni kwamba ulinzi wa rais unaprotokali zake inapobidi kuwepo hao jamaa basi watakuwepo na pale ambapo haibidi basi hawata kuwepo.
Hivyo Basi kwakuwa mama pia ameonekana kuwa na ulinzi huo sasa tufunge mjadala na kukubaliana na mabadiliko haya ya ulinzi wa rais maana wao mpk kufanya hivyo ndio wanaojua hali yao ya kwanini wafanye hivyo na sio sisi waonaji tu.
Atawale Mpaka Kiti Kivunjike ChenyeweSawa.
Mitano tena kwa Madam.
very lisk
.
Mbowe yupi ? Yule aliyebadili gia angani ? Bado mnamsikiliza tu ? Kweli mmekosa kazi.Mbowe jana nae kalizungumza ilo kwa upande wa Hayati naye anaamini eti ao ni wanajeshi wa nchi nyingine...
Jiwe alisemwa sana juu ya wale walinzi wake wenye mitutu huku wakisema mama hana ulinzi wa namna hiyo!
Ktk moja ya uzi humu nilikomenti ya kuwa waache fikra hizo hii inamaana ulinzi wa rais umebadilika lkn watanzania wengi bado hawajabadilika kukubaliana na hilo!
Wanataka marais waliopita na wasasa wawe na ulinzi uleule kitu ambacho ni very lisk maana hata adui kila siku nae huwa anabadilika!.
Mama akiwa anarejea kutoka Uganda walinzi wa aina ileile waliokuwa wakisemwa vibaya wakati wa hayati wameonekana wakiwa na mama pia video hii hapa.
Haya wale wasemaji waliokuwa wakinena mara hivi mara vile nafikiri ni muda wa kulifunga hili na kufanya vyengine.
Hata kuangalia napo tufundishane mkuu hebu angalia vizuri video ffu wapo lkn na hao jamaa wapo wanaanza kuonekana rais akiwa kwenye red carpet weka jicho lako makini hasa pembezoni huko ndo utawaona.Mbona hao ni FFU? Wale wa MEKO si walikuwa Makhirkhiri wa Rwanda?
Hata kama hataki tutamlazimisha. Madam 10 tenaSawa.
Mitano tena kwa Madam.
Kwa haraka haraka wanaonekana around 7. Anyways, ulinzi mkali kwa rais ni kawaida hao wanaoshangaa ni kwa ajili ya propaganda zao tu!Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa.
Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi.
Hao huitwa Counter Assault Team. Hao ndo wapiganaji ikitokea Rais anashambuliwa kwa silaha. Wale wanaovaa suti kazi yao si kupigana na adui. Kazi yao ni kuhakikisha rais yuko salama kwa kumkinga [taking the bullet for the president] au kumuondosha kwenye eneo lenye hatari.
Leo Rais Samia katua kwenye uwanja wa ndege Dar.
Chini naweka video. Lakini kabla yake, naweka screenshots za video zinazoonyesha hao watu wa counter assault walikuwepo na mabunduki yao.
Kuna watu walishaanza kusema eti Rais Samia hana walinzi kama hao kama ilivyokuwa kwa Magufuli.
Pia, Rais huwa hajipangii ulinzi wale mwenyewe. Ulinzi wake hupangwa na wataalamu kulingana na vigezo vingi ikiwemo eneo alipo, hali ya usalama wa eneo kwa ujumla, na mambo mengineyo.
Ona huyu na huo mbunduki wake:
View attachment 1742313
View attachment 1742314
Huyu pia ni mwingine akiwa pembezoni kidogo.
View attachment 1742316
Video hii hapa;
Mzee wa 7800Msiwe mnaweka video ndefu kwani mambo ya Ndugulile ni kikwazo kizito
Hapo na bado tutamkumbuka sana tu huyu mwambaGharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani![]()