Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

Tena aongezewe ulinzi huo haumtoshi! Wafitini wenye husda na vijiba vya roho ni wengi!

Everyday is Saturday................................😎
 
Jiwe alisemwa sana juu ya wale walinzi wake wenye mitutu huku wakisema mama hana ulinzi wa namna hiyo!

Ktk moja ya uzi humu nilikomenti ya kuwa waache fikra hizo hii inamaana ulinzi wa rais umebadilika lkn watanzania wengi bado hawajabadilika kukubaliana na hilo!.

Wanataka marais waliopita na wasasa wawe na ulinzi uleule kitu ambacho ni very lisk maana hata adui kila siku nae huwa anabadilika!.

Mama akiwa anarejea kutoka Uganda walinzi wa aina ileile waliokuwa wakisemwa vibaya wakati wa hayati wameonekana wakiwa na mama pia video hii hapa.

Haya wale wasemaji waliokuwa wakinena mara hivi mara vile nafikiri ni muda wa kulifunga hili na kufanya vyengine.

Wajameni kama wameletwa na bosi wao jana hiyo hiyo mama awafurushe?

Ukweli mchungu mama anakubalika sana. Kama ni kujilinda zaidi ni dhidi ya wale ambao bado hawataki kuamini hii ni awamu ya sita.

Hiiiiii bagosha!
 
Wewe ni mwimba mapambio tu wa magu... Unapambana kumringanisha mama na dikteta...

Katika tawala zooote ....ni hii miaka 6 pekee watu wa kawaida tumeweza kujua kumbe kuna kitu inaitwa tiss..

Kazi ya magu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa hujui kuwa kuna TISS? Basi wewe ni kula kulala mkuu!
 
Vile mataga wanamungalia Rais Samia aliyewapa watanzania matumaini
FB_IMG_1618166198247.jpg
 
Jiwe alisemwa sana juu ya wale walinzi wake wenye mitutu huku wakisema mama hana ulinzi wa namna hiyo!

Ktk moja ya uzi humu nilikomenti ya kuwa waache fikra hizo hii inamaana ulinzi wa rais umebadilika lkn watanzania wengi bado hawajabadilika kukubaliana na hilo!

Wanataka marais waliopita na wasasa wawe na ulinzi uleule kitu ambacho ni very lisk maana hata adui kila siku nae huwa anabadilika!.

Mama akiwa anarejea kutoka Uganda walinzi wa aina ileile waliokuwa wakisemwa vibaya wakati wa hayati wameonekana wakiwa na mama pia video hii hapa.

Haya wale wasemaji waliokuwa wakinena mara hivi mara vile nafikiri ni muda wa kulifunga hili na kufanya vyengine.
Nimemkubali Diwani DG wa Tiss wala hajashobokea kwa nidham ya uwoga kama kunenge
 
Una
Jiwe alisemwa sana juu ya wale walinzi wake wenye mitutu huku wakisema mama hana ulinzi wa namna hiyo!

Ktk moja ya uzi humu nilikomenti ya kuwa waache fikra hizo hii inamaana ulinzi wa rais umebadilika lkn watanzania wengi bado hawajabadilika kukubaliana na hilo!

Wanataka marais waliopita na wasasa wawe na ulinzi uleule kitu ambacho ni very lisk maana hata adui kila siku nae huwa anabadilika!.

Mama akiwa anarejea kutoka Uganda walinzi wa aina ileile waliokuwa wakisemwa vibaya wakati wa hayati wameonekana wakiwa na mama pia video hii hapa.

Haya wale wasemaji waliokuwa wakinena mara hivi mara vile nafikiri ni muda wa kulifunga hili na kufanya vyengine.
Una macho makini sana
 
Ile mijamaa iliyokuwa inamlinda mwendazake..ilikua inasogea hadi kwenye red carpet
 
Wakati watanzania na dunia ya watu wanaojielewa wanabadilika kwenda mbele Mataga wanabadilika kurudi nyuma. Zama hizi ulinzi wa marais unawekezwa kwenye "intelligence" zaidi, wabeba mabunduki wanajificha kwenye magari na majengo.
Jiwe alisemwa sana juu ya wale walinzi wake wenye mitutu huku wakisema mama hana ulinzi wa namna hiyo!

Ktk moja ya uzi humu nilikomenti ya kuwa waache fikra hizo hii inamaana ulinzi wa rais umebadilika lkn watanzania wengi bado hawajabadilika kukubaliana na hilo!

Wanataka marais waliopita na wasasa wawe na ulinzi uleule kitu ambacho ni very lisk maana hata adui kila siku nae huwa anabadilika!.

Mama akiwa anarejea kutoka Uganda walinzi wa aina ileile waliokuwa wakisemwa vibaya wakati wa hayati wameonekana wakiwa na mama pia video hii hapa.

Haya wale wasemaji waliokuwa wakinena mara hivi mara vile nafikiri ni muda wa kulifunga hili na kufanya vyengine.
 
Bahati mbaya au nzuri Ulinzi wa Rais hasa deployment ya hiyo “counter assault squad” huwa hajipangii Rais mwenyewe na wala hawezi kusema “msiniletee hao wenye mitutu”
 
Jiwe alisemwa sana juu ya wale walinzi wake wenye mitutu huku wakisema mama hana ulinzi wa namna hiyo!

Ktk moja ya uzi humu nilikomenti ya kuwa waache fikra hizo hii inamaana ulinzi wa rais umebadilika lkn watanzania wengi bado hawajabadilika kukubaliana na hilo!

Wanataka marais waliopita na wasasa wawe na ulinzi uleule kitu ambacho ni very lisk maana hata adui kila siku nae huwa anabadilika!.

Mama akiwa anarejea kutoka Uganda walinzi wa aina ileile waliokuwa wakisemwa vibaya wakati wa hayati wameonekana wakiwa na mama pia video hii hapa.

Haya wale wasemaji waliokuwa wakinena mara hivi mara vile nafikiri ni muda wa kulifunga hili na kufanya vyengine.
Unamfananisha shujaa wa Afrika nzima na nani mkuu?. Huyu wa sasa hawezi vita ya uchumi, yeye ni mtu wa ku compromise kila kitu.
 
Sidhani Kama umeelewa uzi! Ipo hivi Kuna watu humu walikuwa wakiusema vibaya ulinzi wa hayati haswa hao jamaa wenye mitutu!,alipoingia rais Samia kwa Mara ya kwanza alikuwa akionekana na ulinzi wa kawaida I mean hao ambao hawana mitutu.. wakaanza kusifu na kumsema vibaya hayati na Kama ulifatilia hata jana ktk hotuba ya mbowe aliligusia swala hili la hayati kuwa na ulinzi ule!

Sasa mama pia ambae alikuwa anaonekana anaulinzi smart Sasa nae anaowalinzi walewale wenye mitutu! Sasa napo waseme.. watu hawataki kukubaliana na mabadiliko haya ya safu ya ulinzi wa rais ilifika kipindi wakaanza kuzusha kuwa ni wakutoka nchi za nje!!!
Watanzania tunamtindo wa kuzusha mambo hata Kama hatuna hakika.

Binafsi sikuwahi kuwa na shaka na ulinzi huu isipokuwa nilichokuwa najua ni kwamba ulinzi wa rais unaprotokali zake inapobidi kuwepo hao jamaa basi watakuwepo na pale ambapo haibidi basi hawata kuwepo.

Hivyo Basi kwakuwa mama pia ameonekana kuwa na ulinzi huo sasa tufunge mjadala na kukubaliana na mabadiliko haya ya ulinzi wa rais maana wao mpk kufanya hivyo ndio wanaojua hali yao ya kwanini wafanye hivyo na sio sisi waonaji tu.
Hivi una akili timamu wewe? Unafanana na yale matoto majingajinga yanayolia hovyo hovyo hata kuku akidonoa chakula chake!
 
Back
Top Bottom