badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
ewaaa! Bora umekuja hata 6*6..
Nataka uwe mke nikupeleke ukatambulishwe
heheheh sichakachui b4 marriage....lols
ewaaa! Bora umekuja hata 6*6..
Nataka uwe mke nikupeleke ukatambulishwe
heheheh sichakachui b4 marriage....lols
Me JF imenikutanisha na wengi sana wengine watu wakubwa wenye hadhi zao na wengine ni waheshimiwa wa serikali ya TANZANIA nimetengeneza network nzito sana kupitia JF I CAN SAY BIG THANKS TO JF FOUNDERS
umeambiwa ungependa ukutane na nani?
haa! Hujui kuwa kuna shake well b4 use.... Ukisubbir kuolewa je ukikutana na kidole cha mtoto au mguu wa mtoto wa miaka 10 utafanyaje??
Mi nikija Dar ntakutafuta, na ushamba huu wa kuishi Sumbawanga mimi mweee!!