Kenya inakusudia kukodisha uendeshaji wa Bandari 5 ili kukabiliana na ushindani wa Bandari ya Dar es Salaam

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,042
49,727
Serikali ya Kenya imepanga Kushirikiana na sekta binafsi Kwa kukodisha Uendeshaji wa Bandari Zake Zote 5 kubwa ikiwemo Mombasa/ Dongo Kundi Ili kuleta ushindani na kukabiliana na Bandari ya Dar.

--

Serikali ya Kenya chini ya Rais William Ruto imepanga kuingia ushirikiano na sekta binafsi (PPP) kuendesha na kusimamia bandari tano muhimu mapngo wenye thamani ya Ksh 1.4 trilioni [TZS trilioni 23.9] ili kufufua sekta ya baharini nchini humo.

Shirika la Maendeleo la Kenya (KDC), taasisi ya fedha ya maendeleo, imefichua kuwa utawala wa Kenya Kwanza unatafuta waendeshaji wa sehemu za bandari ya Kilindini, Bandari ya Dongo Kundu, Bandari ya Lamu, Bandari ya Kisumu na Bandari ya Uvuvi ya Shimoni katika kile kinacholengwa kuwa ni kuifanya ukanda wa kaskazini kuwa wa ushindani.

"Bandari zinakabiliwa na changamoto ya msongamano na hivyo, mizigo kukaa kwa muda mrefu. Bandari hizo zitakodishwa au kutolewa kwa waendeshaji binafsi wenye mfumo wa usimamizi wa bandari,” imesema KDC katika mazungumzo yake kwa wawekezaji watarajiwa.

Njia ya biashara ya Kenya hivi karibuni imekuwa katika ushindani mkubwa huku nchi zisizo na bandari kama Uganda, Burundi na Rwanda zikipendelea kutumia njia ya Tanzania katika usafiri.

Mradi huo wa PPP unakusudia kutumia takribani Shilingi Bilioni 1.4 pesa za Kenya..

My Take
Tanzania endeleeni kubishana wenzenu wanakamatia fursa..

=======

  • In July 2022, Kenya Kwanza Alliance leaders claimed retired President Uhuru Kenyatta secretly sold three Kenyan ports to a Dubai firm
  • President William Ruto's government is now looking for private players to manage parts of five ports including Kilindini Harbour and Dongo Kundu Port
  • Kenya has been under pressure to improve its port services after landlocked countries including Uganda, Burundi and Rwanda shifted to the Tanzanian route.PAY

President William Ruto's government is set to lease out five Kenyan ports to private investors in a change of heart.Mombasa port.The port of Mombasa.

The deal to manage and operate the ports would be under the public-private partnership (PPP) and aims to bolster the country's maritime sector.

Business Daily reported that the government was looking for private players to manage parts of Kilindini Harbour, Dongo Kundu Port, Lamu Port, Kisumu Port and Shimoni Fisheries Port.Read alsoKenyan Newspapers Review: William Ruto Lists His Achievements on Madaraka Day, Makes More Promises

“The ports are confronted with the challenge of congestion and, therefore, higher dwell times for cargo. The ports will be leased/concessioned to private operators with landlord-type port management system,” the Kenya Development Corporation (KDC) stated.

Kenya has been under pressure to improve its port services after landlocked countries including Uganda, Burundi and Rwanda shifted to the Tanzanian route.Amid rising competition from the Dar es Salaam port, the volume of cargo handled through the Mombasa port dropped from 34.76 million tonnes to 33.74 million tonnes in 2022.

Kenya Kwanza claims ports were soldIn July 2022, former National Treasury Cabinet Secretary Ukur Yatani dismissed claims that retired President Uhuru Kenyatta secretly sold three Kenyan ports to a Dubai firm, as alleged by Kenya Kwanza Alliance leaders.Read alsoList of High-End Hotels Owned by Gideon Moi, Other Kenyan PoliticiansKenya Kwanza Alliance leaders led by Musalia Mudavadi claimed the president had auctioned Kenyan assets against the law.

"Today, we reveal to Kenyans a clandestine plot by the outgoing handshake government of Uhuru and Raila to illegally mortgage our ports of Mombasa, Lamu, and Kisumu to a foreign country. In a secret deal under the guise of an economic cooperation agreement with the United Arab Emirates, which epitomised grand corruption, Uhuru has assented to a rip-off that will see a privately registered entity-Dubai Port World PZE take over these national infrastructure assets," the leaders claimed. Yatani accused the Kenya Kwanza Alliance leaders of misinterpreting facts. "The Kenyan government is attracting investors into the country and by that not losing any of its assets or benefit but realise more revenue and employment opportunities for its citizens," he told Citizen TV.

Mbona wazungu wao hawabinafsishi bandari zao Serikali zao zinasimamia zenyewe.

Huu ujinga wa ubinafsishaji wanatudanganya tu sisi ili watupige.
Wewe ni mjinga wa degree gani? Wazungu hawabinafsishi? Kwa taarifa Yako wao wameenda mbali zaidi Hadi kuwa na eneo huru la biashara na Bandari kama ambavyo wakitaka wafanye Ile ya Bagamoyo
 
Tutumie mapato tuliyonayo tuimarishe utalii, madini na bandari.kisha tutumie makusanyo kutoka katika hizo sehemu tuimarishe kilimo na viwanda vidogo vidogo-hapo tutasogea kama Taifa.Vinginevyo miaka na miaka tutakaa hivyo hivyo kusubiri wawekezaji na kutegemea wawekezaji.
 
Wewe ni mjinga wa degree gani? Wazungu hawabinafsishi? Kwa taarifa Yako wao wameenda mbali zaidi Hadi kuwa na eneo huru la biashara na Bandari kama ambavyo wakitaka wafanye Ile ya Bagamoyo
Ni ujinga kubinafsisha eneo ambalo unajua ni backbone ya uchumi wako.kwa nini usitumie mikopo tunayokopa daily kuimarisha bandari.
 
Ni ujinga kubinafsisha eneo ambalo unajua ni backbone ya uchumi wako.kwa nini usitumie mikopo tunayokopa daily kuimarisha bandari.
Wewe ndio mjinga unaropoka bila kujua mechanism ya huo ubinafsishaji unafanyikaje..

Kubinafeisha kunakoongeza Ufanisi Kuna shida gani? Unadhani inabinafsisha harafu unakadiriwa Cha kupewa na mbia wako?

Kwa Africa hapa Ili kukomesha mambo ya ujomba na ushangazi na inefficiency ya public sector lazima kubinafsisha vinginevyo itaendelea kulia Kila siku..

Private sector hawaangalii mjomba sijui jirani yangu and such upuuzi ukizingua inapigwa chini.
 
Tutumie mapato tuliyonayo tuimarishe utalii, madini na bandari.kisha tutumie makusanyo kutoka katika hizo sehemu tuimarishe kilimo na viwanda vidogo vidogo-hapo tutasogea kama Taifa.Vinginevyo miaka na miaka tutakaa hivyo hivyo kusubiri wawekezaji na kutegemea wawekezaji.
Mdomo.kila mtu anao ila Sasa kupata hayo unayoyaongea ndio mtihani wenyewe
 
Tutumie mapato tuliyonayo tuimarishe utalii, madini na bandari.kisha tutumie makusanyo kutoka katika hizo sehemu tuimarishe kilimo na viwanda vidogo vidogo-hapo tutasogea kama Taifa.Vinginevyo miaka na miaka tutakaa hivyo hivyo kusubiri wawekezaji na kutegemea wawekezaji.
Muwekezaji anaweza kuwa mzawa ila tatizo ni wachache sana wenye mtaji wa bila mashaka yoyote
Na hao wana biashara zao kubwa tofauti
Wapo walioiba hela nyingi ila nao wanaogopa maana kuzitakatisha ni kazi sana

Ni vizuri kuwa na wawekezaji na serikali ikawa inakusanya kodi tu au kuwa na ubia wa % kadhaa
 
Back
Top Bottom