Yule Jamaa aliempiga Mimba Joketi ndio alikua anasema hivyoNikipata mtoto wa kike akiolewa na mtu kama mimi honestly imekula kwake
Jo you're such a sweet soul darling...
Lots of ❤️❤️
Nikipata mtoto wa kike akiolewa na mtu kama mimi honestly imekula kwake
Achana na mumeo nikuoe.Mtoto wangu wa kiume akipata mwanamke kama mimi ajihesabie ka-win maisha ya mahusiano
Am such a good,loyal,kind,caring,loving,horny gurl
Watu8 hawezi kubisha
Horny?
Achana na mumeo nikuoe.
Nami niwe sehemu ya bahati
Unadhani kuna mwanaume hatamani kuoa mwanamke mwenye sifa kama zako!Kumekuchaa