kuoa au kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijana LOGICS

    Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

    Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single. Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa. kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia. Bro kama ukipata soulmate...
  2. F

    Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. “Kwa wakazi wa...
  3. M

    Naomba kuuliza kwa anayefahamu kwa uhakika: Ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza inabidi akae bila kuoa au kuolewa?

    Naomba kufahamu je ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza atalazimika kukaa kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa?. Kuna ndugu ameuliza swali hilo ili afanye maamuzi ya kujiunga na jeshi hilo. Tafadhali anayejua kwa uhakika naomba anijuze.
  4. matunduizi

    Matokeo matatu ya kuoa au kuolewa na mwanamke/mwanaume uliyezini naye

    1: Ataendelea kuzini na wengine akipata nafasi. 2: Msingi wa ndoa utakuwa ni mashaka na kujishtukia. Msingi huo utaarika kurogwa na limbwata kwa mwenzi ili ajiongezee konfidensi. 3: Tendo la ndoa ndani ya ndoa huarika malaika wa baraka na utele. Tendo la ndoa nje ya ndoa au kabla ya ndoa...
  5. jastertz

    Kuoa au kuolewa kabla ya dada/kaka

    Habari wana JF! Hivi mdada kuolewa kabla ya dada yake kuna shida yeyote?? Maana wadada wengi huwa hawataki ikiwa dada yao alietangulia hajaolewa. Kwahiyo kama dada haeleweki ndo mdogo mtu asiolewe?/ Na akitangulia kuna tatizo??? Nasoma comment
  6. BARD AI

    Mbunge wa Makambako (Jah People) atangaza kuwachangia Fedha Vijana watakaotaka Kuoa au Kuolewa

    Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo...
  7. Cute Msangi

    Kuoa au kuolewa kunapunguza ushawishi

    Kuoa na kuolewa ni Jambo nzuri na la kheri Katika dini zetu na Jamii inayotuzunguka. Kwa mwanamke ndoa ni heshima Ila ukiolewa tu ushawishi unapungua Katika Jamii yako mfano ukiwa mwimbaji,muigizaji,models nk ukishaingia kwenye Ndoa ule ushawishi wa kufanya kitu unachokipenda unapungua muda...
  8. Wadiz

    Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

    Wasalaam JF Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili kundi letu la uchakataji usio na mipaka. Inshallah naamini tuko na jumapili njema kabisa. Wadiz.
  9. peno hasegawa

    Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

    Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake. Kutokana na utata huo mke...
  10. Wadiz

    Mapepo ya Harusi: Hivi inakuwaje wasiotuthamini wanatupa thamani wakiwa na shida ya kuoa au kuolewa?

    Wasalaam JF Niende kwenye mada straight, hivi inakuwaje katika jamii, sehemu za kazi, ujirani, au ndugu, mtu ambae haoni thamani yako anatambua uwepo wako nyakati zake za kuolewa au kuoa hasa michakato ya kuchangia pesa za harusi? Kuna uhusiano gani kati ya harusi na kuwatafuta watu ambao huwa...
  11. Mboka man

    Je ni kweli wazazi huwa wanaona mbali linapofika kuoa au kuolewa

    Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka Je katika hili kuna ukweli wowote ule
  12. Kichwamoto

    Hivi unaanzaje kuwaza kuoa au kuolewa wakati hujui maana halisi ya ndoa?

    Hi, WanaJF nimeboreka nimekutana na bonge la ufufu, mdada kaniletea kadi ya harusi nikampongeza, ila nikampa swali bwagizi, Best ndio utaolewa je unafahamu maana ya ndoa, naomba majibu nione kama unafuzu ndoa. Katoa majibu mafufu matupu, nikapata fursa tena ya mtarajiwa mwenza nae kaleta...
  13. C

    Umewahi kujuta kumuoa/kuolewa na huyo?

    Inawezekana wakati unamuoa/kuolewa naye ulikuwa na mategemeo lukuki ambayo kwa bahati mbaya huyaoni katika Manisha halisia ya ndoa! Umewahi kujiuliza kama unatimiza mategemeo yake kwako ya kabla ya ndoa? Moyo wa mwanadamu ni kichaka, yawezekana amejaa sononeko ndani ya moyo wake kwa kutopata...
  14. Equation x

    Tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni lipi?

    Wengi wanapenda kuwa na wapenzi na hatimaye kufunga ndoa; Swali, Je tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni kwa ajili ya kupata watoto, kupata utamu, kuondoa upweke, au kuwaridhisha watu wanaokuzunguka kuwa upo kwenye mahusiano au ndoa?
  15. Ben Zen Tarot

    Fahamu haya kama unajiandaa na ndoa au tayari upo katika ndoa

    ★1. Ukitaka ambacho hakijamilikiwa na mtu yoyote ni lazima ufanye jambo ambalo halijafanywa na yoyote. ★2. Mungu akitaka kukubadili hukuletea mtu na shetani akitaka kukuangamiza pia huleta mtu. ★3. Bora Uishi mwenyewe kuliko kuishi na mtu ambaye si sahihi katika maisha yako. ★4. Kuoana kabla...
Back
Top Bottom