Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

Mkuu uadilifu wa Magufuli ni upi??Tanzania Kiongozi aliyekuwa Mwadilifu kwa kauli na vitendo ni Nyerere&Sokoine tu.
Magufuli alikuwa fisadi kama akina Mkapa,Kikwete na Lowassa.
fisadi la kuijengea nchi flyovers, SGR, Mwl. Nyerere HED, terminal 3, melis, ndeges, hospitalis, vifaa tibas, nk, nk, nk, nk, nk...........................!
we mwendawazimu kwelikweli!
 
Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya pande zote mbili.

JPM alikuwa mwadilifu, mwenye kujiamini , msema kweli, mwenye akili kubwa, mwenye maonao, jasiri kwelikweli, mwanasiasa asiyependa siasa za propaganda na Mchapakazi, sifa hizi nzuri na nyingine nyingi alizokuwa nazo ni nani asiyezikubali? kama zile conspiracy za JK kuwa alikuwa anaenda south kula bata usiku asubuhi yuko ikulu Kwa karba ya JPM alitengenezewa conspiracy theory zinazoendana nae pia kama kumuu mwandishi wa habari :oops::oops:

Anyway to cut a long story short
uko tayari kugharamia shilingi ngapi kama tozo tu ya kuona kaburi la huyu Mwamba achiliambali gharama za nauli na nyinginezo
Mimi naamini ikitokea kaburi la JPM likafunguliwa kwa umma kwenda kulitazama kwa tozo ya Tsh. 10,000 tu mapato yatakayopatikana yanaweza fikia pato la mikoa kama Rukwa au nasema uongo ndugu zangu?

View attachment 1991803
Huu mwandiko ni wa Mwanaharakati Huru
 
Wengi wenu msiompenda Magufuli mtakuwa vyeti feki, watumishi hewa, mafisadi, wala rushwa, wadhulumaji, magaidi, wavivu, wapiga madili
Hizo ni hoja maarufu kwa watu wenye uwezo finyu wa kufikiri, na kuishia kutoa majibu mepesi kwenye masuala magumu!!
 
Wengi wenu msiompenda Magufuli mtakuwa vyeti feki, watumishi hewa, mafisadi, wala rushwa, wadhulumaji, magaidi, wavivu, wapiga madili
Ukiona MTU anampenda huyo jua
Ni failure,msukuma,hajui kidhungu,alibebwa kupata cheo,hajaenda jando,anafuga fisi,chatu nk
 
Naomba kujua,je wanaruhusu Kwenda kuona kama tufanyavyo makaburi ya ndugu zetu?

Nisije panda gari nikafika nikaishia kuzuiwa getini kana kwamba nimebeba mihadarati
 
Mwamba, the Legendary huyu jamaa hacheni tu, kwanza sikuwahi kumrahumu, pili sikuwahi kumpa upande wowote na tatu nilikuwa nasubiri amalize hatua zake nizicompare na wengine ndipo nimpe maksi kwa yote good or bad.

Mara nyingi anayetenda mazuri huwa hadumu hasilani kuliko mtenda mabaya, nilichojifunza wengi wa tulio yaona mbaya tunaeleza sababu zisizotugusa in direct self life ila wengi tunapekuwa kwa watu hata wasio na ufahamu juu yao/yetu
 
na nyie mnaomchukia Samia mpo kundi gani
kuna ka mtazamo kuwa wanaompenda Magufuli wanamchukia Samia sijui hata kanatupeleka wapi binafsi (nadhani kuna wengi tu kama mimi) sina chuki kwa Samia so far (namuheshimu kama mkuu wa nchi tu) ila simpendi na kumkubali kama Ninavyomkubali Magufuli
 
Hysee nitaenda sh.10,000/= nitatoa huyu mwamba bado anaishi kwenye mioyo ya watanzania wengi
 
Back
Top Bottom