mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,980
- 3,870
wanafiki hao!
Badala uombe upewe kama wenzio
Unajizima data na u platinum 😂
Kwahiyo ulidhani watu hatukulani et😂😂Nimekwambia u platinum sio ujanja.
Ila hata hivyo tunamshukuru masai dada kwa kutusanua. 😁
Ingekuwa specific kidogo .unamaanisha urafiki wa jinsia ipi na ipi wasivuane kifuniko cha utamu manaan dunia inaenda kasi snaWala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha
I thank God for this friend of mine
5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu
Una rafki humu?
How many years so far?
kimeliwa na nani dada 😝Acha tu dahh🥺
Hata mimi?Mimi hakuna mtu ambaye sijakutana naye kiukwei☺️
Ndio Tayana, hakuna mahusiano, mapenzi na urafiki usio na kuwekana. Hata wewe ukitaka sema tu😅😅😅😅Eti mnawekana🤣🤣🤣
Kwahiyo ulidhani watu hatukulani et😂😂
Si ndioo watu wanajamiana kwa sanaMimi najua watu "tunakulana" hii ni jamii, tuna jamiiana. 😁
Si ndioo watu wanajamiana kwa sana
Kimya kimya yaani🤣🤣
Ule ni upuuzi 🤣Ndio, hii ni jamii. Sema ile ya kujamiiana halafu badae mnaanza kuanikana ndo utoto sasa ule. 😁
She’s not serious 🧐😂Kwamba hutaki watu wale asali, you're not serious! Nadhani ni akili za watu tu, mnawekana na maisha yanaenda kama kawaida.
Unanimiss vipi na hujanipa? Ndo urafiki gani huo??Weee
Ulikuwa wapi jmn
Ur missed
Usingenipotezea kipindi kile saa hizi na sisi tungekua marafiki tu zaidi ya miaka 7 now 😋🧐6yrs now tangu tuanze kuwasiliana PM badae tukahama piemuni
Wakanichokozea rafiki angu hadi akala life ban
Nakupenda dada Lenie
😂😂
Now tunalisongesha nje na jf 😋🥰
Kwema kaka😄😁Braza 😁
Kwaiyo nisisubutuuu nitatangazwa 😳😳 kumbee basi we kaka nikome 😂😂😂Pendana uitwe malaya na waokozi😅
Hawa Gen Z noma wananyandua hadi Great thinkers.Itakuwa mfumo mkuu. Ongea na wadau