ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,656
- 131,194
Nikajua watu wa Mungu hamuwekani😀😀😀😅🤣🤣🤣🤣duh
MTaani mkuu
Nikajua watu wa Mungu hamuwekani😀😀😀😅🤣🤣🤣🤣duh
MTaani mkuu
Huyu mzee chivundu Chivundu kila kitu hajawahi 🤣
Ogopa watu wa sample hii🙌
Wanazichapa kimyakimya, hata Tayana-wog amenishangaza alivyoshangaa, mhenga kabisa anashangaa watu kuwekwa😅Huyu mzee chivundu Chivundu kila kitu hajawahi 🤣
Ogopa watu wa sample hii🙌
Mi sijashangaa😄😄🫠Wanazichapa kimyakimya, hata Tayana-wog amenishangaza alivyoshangaa, mhenga kabisa anashangaa watu kuwekwa😅
Pole na hongera endelea kujitunzaKweli mimi sijawahi pata manzi hapa JF. 😊
Sisi ni watu jmnNikajua watu wa Mungu hamuwekani😀😀😀😅
Umeshangaa Tayana, mkongwe kama wewe ulitakiwa walau umewekana na mmoja-wawili!😅Mi sijashangaa😄😄🫠
Hawa wanaoshangaa ni hatari mnooWanazichapa kimyakimya, hata Tayana-wog amenishangaza alivyoshangaa, mhenga kabisa anashangaa watu kuwekwa😅
Sisi waruwaru ndio hamna kitu😅Hawa wanaoshangaa ni hatari mnoo
Hawa ni wale kula nyama nyamaza🤭
Tayana-wog na Chivundu
Kuanzia leo nawaogopa sana 🤣
Kabisa sisi tunaenda na upepo 😀😀Sisi waruwaru ndio hamna kitu😅
😂 Ni kweli, lakini wewe nilitokeaga tu kukuogopaUsingenipotezea kipindi saa hizi na sisi tungekua marafiki tu zaidi ya miaka 7 now 😋🧐
Mbona we kama wa kitambo hv hujawahi okota great thinker wa kike ukampa maiki aimbe?Sisi waruwaru ndio hamna kitu😅
Yaan uwe rafiki na ex? Au uwe na rafiki jf? Mbona itakuwa ni maajabu kipenziila wewe
🤣🤣🤣
hutaki marafiki?
Miss you more dear!Kumekucha
Ur missed mrembo
Kitambo
Kwanini sasa uliniogopa 😂😂 Ni kweli, lakini wewe nilitokeaga tu kukuogopa
Hawa wanaoshangaa ni hatari mnoo
Hawa ni wale kula nyama nyamaza🤭
Tayana-wog na Chivundu
Kuanzia leo nawaogopa sana 🤣
SawaUsiogope, kuwa na amani. Kwanini umuogope binadamu mwenzio? 😁