SanArt
JF-Expert Member
- Oct 14, 2026
- 682
- 1,215
Unajua moja ya kitu ambacho wanawake wengi hujizima data ni vile hawajui kuwa wanaume tuna hustle na kutafuta maisha kwa ajili yao.
Wanawake, ni moja kati ya viumbe vilivyo pendelewa sana. Ukitoa kazi ya kuzaa hawana kazi kubwa kama wanaume. Wao ni kupokea na si kutoa.
Kinacho haribu mustakabali wa ndoa, familia na jamii kiujumla ni hawa wanawake. (sio wote)
Wanawake ndo chanzo cha mgogoro, ndo chachu ya mateso kwa wanaume.
Wanawake ndio viumbe wanaweza kummanipulate mwanaume akafanya ujinga, because wanajua mwanaume amesha oza, na hisia ndo weapon.
Kuna kipindi katika maisha yangu, nilikuwa najiuliza as to why, unakuta kwamfano mwanaume alikuwa na familia bora, then wakakwazana na mkewe kwa kitu kidogo tu, then yule mwanamke akachukulia serious na kuanza kuleta jeuri, unakuta familia unakufa just for a simple thing. Nimeshuhudia wanaume wanaachwa kuwa karibu na wazazi wao kisa mwanamke, mwanaume anatelekeza wanae na kukimbilia mwanamke, mwanamke asiye na akili ndiye tatizo kubwa zaidi ya bomu la nuclear.
Nasema haya sio kwa ajili ya kuwadhihaki wanawake, bali kuonesha why sisi wanaume tunakuwa played into destruction just because of love and betrayal.
Wanawake ndo kiungo bora cha either familia bora au jamii iliyo njema na pia ni chanzo cha uharibifu mkubwa kwenye jamii...
Tukiangalia chimbuko kuu, huwa tunarudi kabisa kwenye mzizi, ambao ni mtu anaye kaa na mtoto in the initial stages of growth naye ni mama(mwanamke)
Tunapenda sana kuangalia mambo kwa nje ila tuki dive deep unakuja Gundua kuwa mwanamke ni kiumbe essential sana, ila wengi tayari wamesha haribiwa na trauma zinazidi ku burn fire miaka na miaka, ndo maana tuna vizazi vya ajabu sana.
Ni hayo tu, nisiwachoshe... Napenda sana kuweka mawazo yangu ili Atleast mtu a one na kujifunza
Have a good day y'all.