Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Anajitoa hivyo kukuridhisha nawe rudisha fadhila hizo
 
Dah.. Hao ni balaa.... Siku ya kwanza akanipa majukumu ya ubaba..... Nikakubali... Siku ya Tatu akaniambia ninyamaze anaongea na mzazi mwenzie... Siku ya nne nikampiga chini... Sitaki ujinga mimi[emoji13] [emoji13]
Mkuu inaonekana uliingia kwa Single Parent kumchuna (Mariooo a.k.a Msingi kiuno). Hayo ndo matokeo yake. Tafuta pesa yako
 
sometimes mnajisababishia wenyewe mtu unamtegeshea mimba maksud kumbe wengne hawana mipango ya watt mida hio anakukimbia unabaki kujilaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hallo kuna single maza nilikuwa namkamua akataka kuzaa na mimi kipindi hicho mimi nipo tempo tu baada ya kumaliza chuo, nikamwambia mimi sina huo mpango kwa sasa akang'ang'ania kweli kweli kipindi hicho tupo room, nikamuonya mapema ukipata mimba hiyo haiinihusu tukakubaliana kabisa kama mkataba maana yeye madai yake ni kwamba anataka akapime kansa ya kizazi hivyo inabidi kizazi kiwe karibu na ili kiwe karibu inabidi abebe mimba.
Basi baada ya kukubaliana kwamba mimba utajayopata sihusiki nayo nikaanza kukamua mzigo, mwisho wa siku ooh ninajisikia kutapika sijui nini nikamwambia kumbuka mkataba wetu sitaki kusikia chochote kuhusu hicho kitu, mwisho wa siku alifanyaga manuva yake ikawa kimya na ndo ukawa mwisho wa mahusiano.
 
Wengi mnaongea km soga tu,na ndo tabia ya vijana ss wa zama hizi,kupiga soga hata ktk mambo ambayo hatuyajui,
Kifupi wengi mnaongea ongea tu
Mnasukumwa na hisia siyo uhalisia,
Tunajua kusifia aina tuliyo nayo bila ukweli,tunajidhania tunapatia na kujua kila kitu,
Leo wasio ishi na single mothers wanaponda wakati hata hawajawahi kaa nao,Siku akimpata utaskia anaanza kumwaga sifa,Mara ooo wanajua kulea,Mara siyo wasumbufu,Mara wanajua maisha,Mara watiifu na sifa kibao,we ar not real,full unafki,
Kifupi usitegemee ushauri wa kijana wa kizazi hiki,maana hawana ujasiri wa kusimamia ukweli,na wengi huongea ili kuchangia tu
Kifupi single mother hawawezi fanana tabia maana ni watu tofauti,na sana sababu tofauti za kuwa single,
Km ambavyo wasio na watoto hawafanani maana ni watu tofauti,
Yupo mtu ukimdharau single mother mbele yake anaweza kukutemea mate ama akaishia kukuona unasumbuliwa na utoto,
Kinachomfanya mwanamke yyte awe bora ni ucha Mungu na malezi pamoja na tabia yake ya asili,
Wakati ninyi mnawasimanga wenzenu wanasema hawa wanajua kushikilia mahusiano hasa ukitibu jeraha lake na huwa wakipata mahali wanatulia maana hakuna wasilojua kuhusu mahusiano,
Kuna jambo sababu ya utoto wa akili hamjiulizi,
Hivi kuna mtu alizaliwa akiwa single mother?
Single mother wa Leo kuna Siku hakuwa single mother,unajua kilichomfanya kawa hivi?
Km ni tabia mbaya ni ile aliyokuwa nayo kabla hajazaa,
Huyo asiye single mother unaemsifia Leo unahakika kesho hatakuwa single mother?
Km kuumizwa hata wasio single mothers wana makovu ya kuumizwa tena yamkini hawa wakawa hatari zaidi maana wanaujasiri wa kuua sababu ya mimba walizonyofoa,
Jua kwanza sababu iliyopelea usingle mother ndo ujaribu kuhisi jambo unalidhani
 
Haina shida kudate na singo mazaz iwapo tu utakua na uhakika 100% kua baba wa mtoto amekufa au amepata ulemavu mkubwa.
hahahaa lasivyo lazima utakufa kwa pressure tu ..maana viporo lazima vipashwe sana tyu
 
Wengi humu wamelelewa na hao wanaowaita 'single mothers' baada ya kutelekezwa na baba zao, ajabu leo mmejua kunyoa ndevu ndio mwaja kuwasema humu, sasa sijui kwenye malezi yako ulikua unamuona huyo single mum akifanya mambo ya upuuzi,
Au kwenye ukuaji wako ulimuona baba yako akija kulala hapo kwenu na kuondoka?

Au single mothers wa kipindi hiki ni tofauti na wa kipindi kile?
Yaani ume hit penyewe!! Mwenye hoja nzito amjibu everhurt!! Kuna watu wana stereo type kuhusu single parents!! Wengine hata maana sahihi ya hilo neno hawajui!! Nimeipenda hoja yako!!
 
Back
Top Bottom