Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Hvi nyie nyegere wanaosababisha single maza ni kina nani???kumbuken hvi sasa mabinti wng wanapigwa mimba wadgo alafu hyo mafic maji yanakula kona,au wngne kukataliwa mimba cio single maza wte wanawacliana na wzz wnzao wngne hawajui hta baba wa mtt yko wp!!!!!hvyo anaweza kuwa mm bora tu na ndo mana wnye akili akipata mme km baba wa mtt ypo bac mtt akakae upande wa baba ili kuepusha mawacliano ya krbu!!kwa hmna single faza!??bac hawa wataona wnywe cingle maza +cingle faza familia tyr!!
 
aisee hii mambo ukibahatika una-injoy hasa mkikutana wote "ma-FUNDI" vinginevyo utakuwa unanyonywa na huyo Guberi
 
Vipi kama singo faza na singo maza wakioana ili watu wao wa zamani wapo jirani?

Ndo nashangaa aisee single faza wapo watabebeshana majukumu wnywe!!!!alafu hii kitu haina mjanja aisee hao single maza wanaolewa kila leo vigoli wanaback vicheche tu mtaani so tangu mmeaza shauriana khsu hili swala nadhan cingle maza wangejaa mitaani!!TATIZO MOYO!!!!
 
Msisakame single mothers tuu, single parent inaweza pia kuwa single fathers...as one of them, yes niko sensitive sana msichana nitakayetoka naye, lazima awe na mwenendo wa ki'mama-wa-kambo' bora, la sivyo sitakuintroduce kwa wananangu!
 
Huyu naye ni single mother au single XXx....???

Watoto wa tatu ..???
It is a NO NO..... Wakati kuna mabinti wadogo kabisa na warembo wa kuanza nao family,.... Anapo zidisha mtoto zaidi ya mmoja inakuwa sio tena..... Khaaaaa.....
Duh, mkuu wanaharakati viherehere wakikusikia itakuwa balaa. Ngoja tupime upepo hapa.
 
Wakuu katika mahangaiko ya maisha huenda ukaangukia kuanzisha uhusiano na Single Parents, watu hawa inabidi uwe na AKILI YA ZIADA kama BODI YA SUKARI kuwamudu maana wengi walishaumizwa kwa hiyo usipokuwa makini unaweza kusukumiwa lawama za aliyepita kabla.

Wengi hujaa malalamiko hasa wakati wa kusali.

Pia, tahadhari na huyo mtoto uliyemkuta, usimuonyeshe ukauzu mpaka mzazi wake (Baba au Mama) akashtukia, jitahidi kumpenda kiasi (kinafiki) ili ufanikishe lengo lako.

Jitahidi kutokumbushia yaliyopita kabla ya wewe kuanza nae uhusiano, maana ni kama utakuwa unamsimanga.
** Mengine atajazia Miss Chagga maana ana uzoefu.
Acheni kufanya hali zetu zizidi kuwa ngumu jamaniiiiii....
Wengine hatunaga mambo hizo
 
Back
Top Bottom