Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Rafiki hadi hapo umeshindwa ubaba, ulipaswa kumwambia majukumu ambayo unaweza kumsaidia kwa mtoto.....
 
Mkuu angalia vizuri, wazuri wengi waliozalishwa halafu hawajaolewa na waliowazalisha wana siri nyingi. Kuwa makini, usidanganyike na huo uzuri na hayo makorokoro mengine anayokudatisha nayo!
 
Km njia kuu imekushinda basi pambana na hyo njia yako, unataka ushauriwe nn tena
 
Wakuu,

Mimi sijaoa, nina msichana tuu ambae nam consider kama njia kuu, ila pia nina mchepuko ambao umenipita miaka ka7 hivi.

Huyu ni mdada ambae ni singo maza, ni mzuri hatari, kiufupi amenidatisha, yaani kwanza anajua kupika balaa, na kuhusu kupata mchezo yaani hadi nakimbia mwenyewe, she is a squirter too, hahah, yaani hua naenjoy kinoma.

Tatzo lililopo ni 1 tuu, huyu dada ana majukumu mengi sana na mwanae, yaani mimi hata mtoto wa kusingiziwa sina ila hayo majukumu nayobebeshwa daah, bday mimi, shopping ndogondogo za vitu muhimu vya mtoto mimi.

Vidate vingi bibie anakuja na mwanae kwakweli sitaki kusema sipendi hili jambo ila najiona kama siko comfortable nalo, mara nyingi baada ya events kama hzo nilizotaja zinapotokea hua nakua nachukia, halafu na yeye ameshtukia ila naona hajali wala nini, sasa sijui nifanyaje kwakweli nina wakati mgumu kweli.
Bado huko hadi leo nae huyo single mother?
 
Mkuu naww mpende tu huyo mtoto wa mwanaume mwenzio,maana umeamua kuwa mrithi
 
Habari wanabodi.

Kama kichwa cha habari kisemavyo. Ni kwamba 85℅ ya wanawake nchi Kenya walizalishwa na kukimbiwa na wanaume zao kutokana na kushindwa kuhudumia familia zao.

Inasemekana kwamba nchini Kenya hakuna Ardhi ya kutosha ambayo wananchi wake wanaweza kuitumia katika kilimo ili kuhakikisha wanaondoa baa la njaa linalosababisha wanaume wa Kenya kuwakimbia wake zao baada ya kuwazalisha. Huwa wanawakimbia kwa Sababu hawana cha kuwalisha watoto wao.

Kadhalika, kutokana na hao wanawake kukimbiwa wanaume kutoka MKOANI Mara tuliamua tuwe tunawachukua ili wawe wake zetu hasa wale wenye watoto wengi wa kike tukiamini kwamba hao watoto wa kike mwisho wa siku wataleta faida kubwa sana katika familia. Hivyo tukiawaoa huwa tuwapa Ardhi ya kukupa na Ng'ombe watano wa maziwa na madume wanna kwa ajili ya kuwasaidia katika shughuli za kilimo. Kutokana na ukalimu wetu huu hakika huwa tunaonekana shujaa na mkombozi wao. Ndiyo maana wanawake wa nchini Kenya hasa kutoka kabila la Gikuyu wamejazana mkoani Mara.

Rai yangu kwenu nyie wanaume wa Kenya ni kwamba muache umama. Act like men, show your manhood.Msipende mtelezo wala kitonga. Huo ndiyo mwanzo wa kunyang'anywa wanawake wenu.
 
Kwahiyo unataka kusema kuwa 85% ya wanaume wa Kenya wanakimbia familia zao. Et wakenya ni kweli, mbona ni kashfa nzito sana hii njooni mkane wakuu.
 
Haaa, yaani wamama wanahangaika wenyewe kulea watoto?
Eti kina mwasitw?
 
Habari wanabodi.
Kama kichwa cha habari kisemavyo. Ni kwamba 85℅ ya wanawake nchi Kenya walizalishwa na kukimbiwa na wanaume zao kutokana na kushindwa kuhudumia familia zao.
Inasemekana kwamba nchini Kenya hakuna Ardhi ya kutosha ambayo wananchi wake wanaweza kuitumia katika kilimo ili kuhakikisha wanaondoa baa la njaa linalosababisha wanaume wa Kenya kuwakimbia wake zao baada ya kuwazalisha. Huwa wanawakimbia kwa Sababu hawana cha kuwalisha watoto wao.
Kadhalika, kutokana na hao wanawake kukimbiwa wanaume kutoka MKOANI Mara tuliamua tuwe tunawachukua ili wawe wake zetu hasa wale wenye watoto wengi wa kike tukiamini kwamba hao watoto wa kike mwisho wa siku wataleta faida kubwa sana katika familia. Hivyo tukiawaoa huwa tuwapa Ardhi ya kukupa na Ng'ombe watano wa maziwa na madume wanna kwa ajili ya kuwasaidia katika shughuli za kilimo. Kutokana na ukalimu wetu huu hakika huwa tunaonekana shujaa na mkombozi wao. Ndiyo maana wanawake wa nchini Kenya hasa kutoka kabila la Gikuyu wamejazana mkoani Mara.
Rai yangu kwenu nyie wanaume wa Kenya ni kwamba muache umama. Act like men, show your manhood.Msipende mtelezo wala kitonga. Huo ndiyo mwanzo wa kunyang'anywa wanawake wenu.
Ndio nimethibitisha leo kwamba wadanganyika hawana akili.
85%??Wanaume wa Kenya wameoa mbuzi au?
Na hao wanaojiita single mothers walibakwa?? Si walijitakia wenyewe?
 
Wanawake wengi wa Kenya ni mabondia,wanawabonda wanaume hadi wameanzisha chama chao cha wanaume
 
Back
Top Bottom