Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Mkuu umeoa single mother,naona unawatetea,mimi naamini wote ni wale wale kasoro majina.
hapana mkuu sijaoa ila nshatuliza nafsi kwa single maza ka 2 hivi ndio maana nimekuja na haka ka experience.. no research no right to type [emoji14] [emoji14]
 
ilibaki kidogo niangukie huko...kwa kweli ningejuta..hasa hilo la kukumbushia lingeniuma sana.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote pia ni wabishi sana
Duh kweli aisee mwaka jana mwishoni nilirnda ofisin fulan ikatokea nikazoeana na dada mmoja ambaye baadaye nikaja kujua kwamba ni single..
Tumeenda tunawasiliana kumbe ana yake kichwani, kikubwa nilichokinote ni mbishi balaa...yaan akubali kushindwa katika lolote!

Kuna jamaa aliniambia "kilichomkimbiza mwanaume mwenzako lazima na wewe kitakutafuna tu"
 
Kama amekupenda kwa dhati basi utaishi vizuri tu wala hatakumbushia, ila ni muhimu usikurupuke, wametengana hata mwezi bado ukajifanya kidume kuziba pengo, mara nyingi wapenzi huachana kwa muda kwa hasira ilihali wanapendana!
Ukimpenda wa hivi basi umfuatilie kwa muda usiopungua miezi sita.. mpaka ujiridhishe kwamba kweli alikokua katoka!!
 
ipo haja ya kufungua darasa kwa ajili ya vijana "msingi kiuno" kwa hali ilivyo bana bila shaka wataongezeka maradufu. TUVUMILIE MAKONZI ya wapenzi wetu wapya hawa watu wazima
 
Nadhani Diamond aliliweza hili na sasa anakula mzigo toka Uganda
Dogo anataka kutoka nduki sema anaona SOO anatafuta sababu lakini haiwi yenye mashiko. Kulea watoto watano na muziki wenyewe Singeli lazima utafuta namna nyingine ya kuishi asee
 
Single parents nenda nao mdogo mdogo, japo wengi wao siku hizi wamestuka, hawamwagi mipesa kama zamani (Awamu iliyopita). Mi kuna mmoja nakamua (sura ngumu, pale nilifuata ahueni ya maisha tu = K ya bure) asee daah naona kila kitu nalipia mimi. Siku si nyingi nitatoka nduki na kubadilisha namba ya simu, naenda kununua line ya HALOTEL kimyaaa
 
What do you mean? Kua single mom's wanatongoza wanaume au? Kitu kimoja ujue hakuna mwanamke mwenyewe akili Duniani kama single mama, kwanza anapitia changamoto nyingi, so anajifunza kutokana na changamoto hizo... Wengi wanaweka akili zao kwa watoto wao sio mambo ya kipuuzi kama mapenzi. Kifupi anaamini hakuna anaeweza kumlea mwanae kaka yeye mwenyewe... Am one of them. Siku nyingine fikiri kabla ya kuropoka.
yan nilivoanza tu kuisoma comment yako nilijua we ni mlengwa nashukuru ulivomalizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nani anaesababisha watu kua single mothers kama sio nyinyi wanaume?!!!!...
Kumbukeni mna dada,mna mashangazi,mtazaa watoto wa kike..usilopenda ndgu yako afanyiwe usimfanyie mwana wa mwenzio!
sometimes mnajisababishia wenyewe mtu unamtegeshea mimba maksud kumbe wengne hawana mipango ya watt mida hio anakukimbia unabaki kujilaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi mwenyewe dogo wangu kazalishwa yupo hom, msela katoka nduki kwa hiyo inabidi tulee "mjomba" sasa dogo anaongea pumba pumba tu, kitu kidogo kashalipuka
 
Back
Top Bottom