Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,043
Mimi naona wako poa tu kama ukiwa kipendacho roho, utaona mambo yanaenda mororo na mapenzi moto moto
Nini kimekufanya uone kama siheshimu mawazo yako?Naheshimu mawazo yako. nawe unapaswa kuheshimu yangu
Kumuacha Single Mother ufanye kazi. Ving'ang'aniz ka LUBAKweli mkuu dah yani mulemule nilishawahi kuwa na mahusiano na single maza anakupenda hadi kero ila baadaye niliachana naye..!!!
Hapa uhakika msela awe amekufa. Otherwise andika maumivu. I have experience on this.Haina shida kudate na singo mazaz iwapo tu utakua na uhakika 100% kua baba wa mtoto amekufa au amepata ulemavu mkubwa.
Tupe story ilikuaje,???Hapa uhakika msela awe amekufa. Otherwise andika maumivu. I have experience on this.
Kama ndio umechepuka unaweza lishwa limbwata na ukasahau familiaTupe story ilikuaje,???
Nitabak njia kuu mda utakapofika,Baki njia kuuu
Ahh hapana, hahahah,[emoji23][emoji23]Wewe umempenda mama mtu tena unasema ni squiter hudumia tu mzee la sivyo ukimbie.
Ndiye yule mtoto wake anakusumbua kwenye kwichkwich?
dahh si rahis asee,Ukweli kumweka mtu huru ,we mwambie akae anajua ilo.
Ahh ,huyu nikwel ananitumia tuu,..[emoji36][emoji37]Hahahahaahah nimeishia kucheka tu, muache ukose kupikiwa vizuri na kupewa mambo, kwanini akujari while ana maisha yake mengine na mwanae, she is only using you... mtumie tu na wewe usimpende mazima, utakuja kulia sanaa.