Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Hongera mkuu,ukimpa tu ujue umekaribisha matatizo malangon pako!
nna demu wangu mmoja ivi yaani ni juudi zangu binafsi za kujitaidi ili asibebe Mimba laasivyo ataenda kua single mother mtaani uko, binafsi nilipenda ila ni mjeuri balaa nimepambana nae kumrekebisha maana pia alikiri kua ilo ni tatizo kwake lakini habadiliki solution pekee ni kumpiga chini, kipind iki cha mpito nampiga taratibu ila nimeshamwambia sina mpango nae na sababu pia ila naona anaitaka mimba akifikiri mimba ndio gia ya kumuoa. kila nikiona kebehi za masingle mama umu ndani najitaidi sana nisimpe mimba binti ambae sina mpango nae.
 
Ila wanawake wanazingua jamani du huko kwenye ndoa watu sijui wanavumiliaje
 
Single Mothers once again,katika kufuatilia sana hizi mada nilichogundua ni kuwa sio wengi wa wachangiaji wanaopinga mtu kuwa single mother bali kinacho ongelewa mara nyingi ni tabia zao,tuwasamehe jamani kwani kisaikolojia wengi wanakuwa wameathirika ila ukikaa nae vizuri na kumuelewesha anaweza kuja kubadilika na kuwa mke mwema...
 
nna demu wangu mmoja ivi yaani ni juudi zangu binafsi za kujitaidi ili asibebe Mimba laasivyo ataenda kua single mother mtaani uko, binafsi nilipenda ila ni mjeuri balaa nimepambana nae kumrekebisha maana pia alikiri kua ilo ni tatizo kwake lakini habadiliki solution pekee ni kumpiga chini, kipind iki cha mpito nampiga taratibu ila nimeshamwambia sina mpango nae na sababu pia ila naona anaitaka mimba akifikiri mimba ndio gia ya kumuoa. kila nikiona kebehi za masingle mama umu ndani najitaidi sana nisimpe mimba binti ambae sina mpango nae.
Baadhi ya wanawake hufikiri mimba ndiyo tiketi ya ndoa. Kuna mmoja alisema nimpe mimba atalea mwenyewe. Nilikataa sababu mwanamke mwenyewe nilikuwa nimeshamchoka kwa kiburi na dharau zake.
 
nna demu wangu mmoja ivi yaani ni juudi zangu binafsi za kujitaidi ili asibebe Mimba laasivyo ataenda kua single mother mtaani uko, binafsi nilipenda ila ni mjeuri balaa nimepambana nae kumrekebisha maana pia alikiri kua ilo ni tatizo kwake lakini habadiliki solution pekee ni kumpiga chini, kipind iki cha mpito nampiga taratibu ila nimeshamwambia sina mpango nae na sababu pia ila naona anaitaka mimba akifikiri mimba ndio gia ya kumuoa. kila nikiona kebehi za masingle mama umu ndani najitaidi sana nisimpe mimba binti ambae sina mpango nae.
Jitahidi Sana maana mtoto ndio Atateseka kubaki na mzazi mmoja maisha yote bila sababu
 
Single Mothers once again,katika kufuatilia sana hizi mada nilichogundua ni kuwa sio wengi wa wachangiaji wanaopinga mtu kuwa single mother bali kinacho ongelewa mara nyingi ni tabia zao,tuwasamehe jamani kwani kisaikolojia wengi wanakuwa wameathirika ila ukikaa nae vizuri na kumuelewesha anaweza kuja kubadilika na kuwa mke mwema...
Shida ya masingle mother wengi wanamtazamo hasi kuhusu wanaume ndiyo maana wengi wanakuwa na chuki, dharau na kiburi ni kama vile wanalipiza kisasi kwa mwanaume aliyemuacha na ndiyo maana huwa hawaogopi uhusiano kuvunjika
 
Back
Top Bottom