Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Acha gubu man, ukipenda boga penda na ua lake, mme mwenzio akianza usumbufu mwambie mkeo ayamalize mwenyewee
 
Hvi nyie nyegere wanaosababisha single maza ni kina nani???kumbuken hvi sasa mabinti wng wanapigwa mimba wadgo alafu hyo mafic maji yanakula kona,au wngne kukataliwa mimba cio single maza wte wanawacliana na wzz wnzao wngne hawajui hta baba wa mtt yko wp!!!!!hvyo anaweza kuwa mm bora tu na ndo mana wnye akili akipata mme km baba wa mtt ypo bac mtt akakae upande wa baba ili kuepusha mawacliano ya krbu!!kwa hmna single faza!??bac hawa wataona wnywe cingle maza +cingle faza familia tyr!!
wadada wengi wanasema wao wanataka mtoto tu sio ndoa
 
Wakuu katika mahangaiko ya maisha huenda ukaangukia kuanzisha uhusiano na Single Parents, watu hawa inabidi uwe na AKILI YA ZIADA kama BODI YA SUKARI kuwamudu maana wengi walishaumizwa kwa hiyo usipokuwa makini unaweza kusukumiwa lawama za aliyepita kabla.

Wengi hujaa malalamiko hasa wakati wa kusali.

Pia, tahadhari na huyo mtoto uliyemkuta, usimuonyeshe ukauzu mpaka mzazi wake (Baba au Mama) akashtukia, jitahidi kumpenda kiasi (kinafiki) ili ufanikishe lengo lako.

Jitahidi kutokumbushia yaliyopita kabla ya wewe kuanza nae uhusiano, maana ni kama utakuwa unamsimanga.
** Mengine atajazia Miss Chagga maana ana uzoefu.
Kidizaini kama unazungumzia issues za hit n run!
Sijui kudate umemaanisha nini? Yaani hapa neno hili limetumika kama kuanzisha mahusiano au just ku-hit Ila si kwa mahusiano ya kudumu!
Kwa aina yako ya mapenzi hata bikira atakushinda!
Mapenzi hayana ujanja ujanja huu!
Mapenzi yanaenda beyond kusatisfy your sexual desires!
Mapenzi ni kumthamini mtu na kujali pia vyote anavyothamini! Ukimpenda mtu ina maana utafurahi naye pale anapokuwa na furaha na utahuzunika anapokuwa na huzuni! Utakuwepo kumpa support penye shida na raha! Hata waswahili wa kawaida tu mtaani wanasema ukipenda boga basi penda na UA lake, how comes a great thinker wa JF anasema mtoto umpende kinafiki?
Anyway, rika pia linaweza kuongoza hisia, inawezekana huu ni ujumbe murua kwa adolescents (18-24) lakini ukienda beyond 30s wao wanapaswa kuwa makini, huko single parents ndio wengi wapo katika pool na approach hii ya ujanja ujanja itaku-disappoint tu!
 
Wengi humu wamelelewa na hao wanaowaita 'single mothers' baada ya kutelekezwa na baba zao, ajabu leo mmejua kunyoa ndevu ndio mwaja kuwasema humu, sasa sijui kwenye malezi yako ulikua unamuona huyo single mum akifanya mambo ya upuuzi,
Au kwenye ukuaji wako ulimuona baba yako akija kulala hapo kwenu na kuondoka?

Au single mothers wa kipindi hiki ni tofauti na wa kipindi kile?
 
Huu uzi kiboko naona mtoa mada karusha jiwe gizani,..ila singo maza wazuri kupiga tu sio kingine
 
baba wa mtoto akianza kumpigia simu na mialiko ya hapa na pale unabid uvumilie tu. Jifanye km huyaon huku unalilia tumbon
Kwa kweli kuu ukiona hata vizawadi zawadi kama gari, kiwanja na vingine usiulize maana utaambiwa ni kwa ajili ya mwanae
 
Back
Top Bottom