Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Kwanin uende kwa single mother at first place??? Wakati kuna vifresh kibao, hii ndiyo inaitwa mkataa pema, yani uache vibinti ukachukue single mother, ukitendwa na kuumizwa kisaikolojia uje kulialia hapa, bora ukatendwe na kabint fresh utasema bahati mbaya tu. Hawa single mother ni hatari sana, weka mbali na akili yako, ila wanapenda hatariiii Unakuwa kama mkomboz wake
 
"Kaa mbali na Simu Yake unaweza kuta unajua MTU au unajiua...
"" usipende kuingilia mambo UA mtoto wake kama vipi mengine potezea namaanisha usimfuate fuate mtoto atakudisapoint tu na hutaweza kuvumilia kama ambavyo ingekuwa mwanao..
"" ndugu wa mazazi aliyezaa naye ni ndugu yako kiaina kuwa Tayar..

"" jiandae kisaikolojia ugomvi kuhusu mtoto unaweza tokea any time
Sasa mamishuu kumbe wewe una uzoefu na ullisha umizwa kwa hiyo utanifaa mimi ambae sijui mambo ya single mumies.
 
Kati yao wapo weny mapenz ya dhati ma wengine mguu m1 ndani mwingine nje.

Hapo ni kweli akili ya ziada inahitajika kubaini mwenendo wa chombo.
 
baba wa mtoto akianza kumpigia simu na mialiko ya hapa na pale unabid uvumilie tu. Jifanye km huyaon huku unalilia tumbon
Hopo ndipo hapavumiliki.

Kuna jibaba lilimzalisha bint m1, lilipogundua nna mahusiano nae likavimba kwelikweli halikuwa lina familia yake.
Ilibidi nilitumbue penzi baada ya kuona wana mawasiliano.
 
Back
Top Bottom