Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
Unakuta wanaosababisha ni wao wennyewe hadi wanaachwa, kutokana na kuonesha tabia mbovu kama vile kuwa na kiburi, tamaa na dharau. Kuna mdada niko nae na nampenda kweli na nahitaji awe wife lakini kutoka na hizo tabia hapo juu naweza mchinjia baharini muda si mrefu.Hivi nani anaesababisha watu kua single mothers kama sio nyinyi wanaume?!!!!...
Kumbukeni mna dada,mna mashangazi,mtazaa watoto wa kike..usilopenda ndgu yako afanyiwe usimfanyie mwana wa mwenzio!