Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,093
- 1,261
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji38][emoji38]Takwimu za kipumbavu kama hizi utakuwa umezitoa kwenye makalio yako. Hilo nalo halina ubishi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji38][emoji38]Takwimu za kipumbavu kama hizi utakuwa umezitoa kwenye makalio yako. Hilo nalo halina ubishi.
Wewe si mwanaume ni mvulana,ukipevuka na uwezo wako wa kufikiri utabadilika!Kumekua na wimbi kubwa la ma single mother kwa miaka ya hivi karibun,kwa tafiti ndogo nliyoifanya nimegundua hawa viumbe ni majeur sana, wakorofi,vibur.Hivi mnadhan n mwanaume gan atakaependa kukaa na mwanamke mkorofi na mjuaji.Msipobadilika tutaendelea kuwatafuna tu mana hakuna namna,tumechoka sasa! Hivi masingle mom hua mnakwamaga wapi asee?
Acheni ku-generalize watu aiseeKwa asilimia kubwa ukiona mwanamke ana mtoto na hakuweza kuishi na mumewe kuna uwezekano mkubwa tabia yake haikumridhisha aliyempa ujauzito.Kwa sababu ingemridhisha angekuwa akiishi na aliyempa ujauzito.
Nakubaliana nawe mkuu,ila hata kama ni single kama anamwenendo mzuri lazima apate mtu...tofauti na hapo inaweza kuwa rejectAcheni ku-generalize watu aisee
Kuna wasela tunapiga mimba alafu uwezo wa kuhudumia mke hatuna tunachofanya ni kusepa, je hao nao unawasemeaje?
Kuna side mbili mke na mume lakini mke anaonekana ndiye mwenye makosa wakati wote, msifanye hivi wakuu ni kama mnawanyanyapaa hao wanawake. Mnatengeneza Social stigma.
Sio jambo zuri sana
At least umeongea ukweli.Wanaume wa kuoa kila mwanamke wanatoka wapii?? Kuolewa majaliwa Ila kuzaa lazima
Hua najiuliza sana,inakuaje mwanamke umkubali mwanaume asie na pesa? Unategemea nn? Bas tukubaliane kua hawa viumbe hawana..Acheni ku-generalize watu aisee
Kuna wasela tunapiga mimba alafu uwezo wa kuhudumia mke hatuna tunachofanya ni kusepa, je hao nao unawasemeaje?
Kuna side mbili mke na mume lakini mke anaonekana ndiye mwenye makosa wakati wote, msifanye hivi wakuu ni kama mnawanyanyapaa hao wanawake. Mnatengeneza Social stigma.
Sio jambo zuri sana
Kwa asilimia kubwa ukiona mwanamke ana mtoto na hakuweza kuishi na mumewe kuna uwezekano mkubwa tabia yake haikumridhisha aliyempa ujauzito.Kwa sababu ingemridhisha angekuwa akiishi na aliyempa ujauzito.