Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Nimefuatilia ukitaka uishi maisha ya raha ya ndoa oa mwanamke aliezalishwa na kuumizwa na kuachwa huyu atakua anajua maisha, pia mvumilivu. Ukitaka umloge mchukue na mwanae umlee na umpende uta-enjoy sana kuliko ambao wa geti kali
Nadharia hizo
 
Kwanini wewe unabisha??
Siraha ya mwanamke pekee ni kumpenda tu.....

Juzi nilitaka kuchepuka lakini nikiwa njiani kuelekea eneo LA tukio ghafra nafsi ikaanza kunisuta.....why nimsaliti akati wife anashow love sana kwangu....kiukweli nilirudi home
 
Angalia asije akawa kakuendea kwa wataalam.
 
Kwanini wewe unabisha??
Sijabisha,ila nimeuliza kwasababu wanaume wengi hukimbilia kwenye point kuwa single mother hawezi akaacha kufanywa na baba mtoto wakat sio wote. Inategemea na mazingira walioachana..
 
Wewe kama unataka kumsomeshea mwanaume mwenzio mtoto na kutoa maitaji yote huku kidume chenzio kinakuja Kuona mtoto tu jaribu hiyo ishu maana kama uwezi lipa ADA sahau na kumnunulia nguo mtoto wake sahau
 
Back
Top Bottom