KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,547
- 89,101
Acheni kumjaza hana ujasusi wowote ni ujanja ujanja tu wa hapa na pale na wala si kwamba wakimuhitaji wanamkosa!.
Watu kama hao jaribu kuwafatilieni wameshajua namna ya kuwalaghai watu na ndio maana wanaanzisha makanisa!, huko ndipo wanapopigia pesa hivyo ujanja ujanja wakujua ukweli plus fedha ndio maana mnawaona kama akili nyingi!. na kwasababu wanaufahamu ukweli na ndio maana wanakuwa na matendo fulani hivi maana wanajua hakuna kinachowafunga kidini!.
Pia ni watu mojawapo wanaokula na serikali pale inapobidi, na inaweza isiishie hapo wengine wanaweza kufanyiwa recruitment na vitengo vya kijasusi aidha ndani ama nje!, so inategemea na ushawishi wake na hao wanaomtaka wanataka nini kutoka kwake!.
Kuna yule mmoja naona yeye bado anakula mapande makubwamakubwa tena kwa usalama sana!, muda utasema huko mbeleni kama nayeye ni mbombongafu ama vipi!. ila hizi vitu muda mwengine huratibiwa maksudi so ni heri kukaa kimya angalia miruko yao baadae ndo utaelewa kwanini wanaruka!, bado mapema sana kuanza kumsemea huyo kiumbe kwenye hili ila pigo la mwisho ndo litatafsiri.