Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam

Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ hospital.. Begi lake likiwa limeshaandaliwa vizuri kabisa likiwa na pesa$, silaha na passport kwenye gari tayari kwa kupotea nampa salute💪🏿😂
Bahati nzuri au mbaya akakutana na watu wanatoshana mbinu.. Misheni ikafeli

Hata sakata la juzi alishajiandaa na kwa vyovyote alishapenyezewa za chinichini kwamba wanamjia.. Money talk.. Ukiwa na shekeli na ukajua kujiongeza utashindwa na mambo machache sana

Je aliwezaje kuwatoka police mpaka wakaishia kumkamata msaidizi wake tuu!? Kwa vyovyote alikuwa na escape plan 2 au 3
1.Kwenye kanisa lake kuna mlango wa siri unaoongoza mpaka nje kabisa bila kuonekana na yoyote
2. Kwenye kanisa lake ana handaki la siri lenye chumba kikubwa chenye huduma zote muhimu.. Na ana njia za siri za kuweza kufanya mawasiliano na watendaji wake bila kunaswa na mifumo ya kimtandao

3. Muda mchache kabla ya police kuvamia aliondoka na kwenda sehemu salaam mafichoni.. Kisha akiwa huko akajirekodi na wachungaji wake kwamba wako ndani ya kanisa na wameambiwa police wamezingira kanisa huko nje
Hii ni mbinu ya kijasusi. Kumzubaisha adui wakati wewe unapata nafasi ya kutoweka.. By the time jamaa wanatinga ndani Gwajima kitambo kabisa alishasepa! 😂
Ukiwaza kindezi unaweza kusema mwana alivuka boda usiku uleule akiwa kapigilia dela lake safi kabisa na ushungi juu.. Maana pengine walichelewa mno kuweka barriersView attachment 3356465
Serikali ya CCM ina mambo ya kishamba na kindezi sana. Wanataka kumuua mtumishi wa Mungu? Watapambana lakini hawatashinda kwa jina la Yesu Kristo aliye hai.
 
 
Suala la kutoweka kwake kabla ya polisi kufika, inawezekana kabisa ali-anticipate tukio hilo. Maelezo ya kuwa na escape plan kama handaki, mlango wa siri au hata kutumia diversion ya voice note kutuma ujumbe wa "tuko kanisani" ni mbinu zinazotumika sana na watu waliobobea kwenye mchezo wa kujilinda. 🙌🏽
 
Roho wa Mungu hata kuacha salama kiburi,uchu wa madaraka na tamaa za pesa ,zitakutesa ,huna mwendo hakika utakufa
mzinifu wa madhabahuni ni mjumbe wa shetani, mnao abudu kwake mnaabudu sanamu.

ramli ni nonsense kwangu gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
Shetani ni yule mtu asiyesikia huzuni binadamu wenzake wakitekwa, wakiteswa na kuuawa. Shetani matendo yake ni kama Giza.
askofu kusamabaza ukimwi kwa ngono zembe miongoni mwa waamini wake ni mauaji ya halaiki gentleman:pulpTRAVOLTA:
 
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe. Akihitajika atakamatwa kama kuku tu. Kwa hiyo acheni Blaa Blaa na porojo zenu hapa.

Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe. Akihitajika atakamatwa kama kuku tu. Kwa hiyo acheni Blaa Blaa na porojo zenu hapa.
This ain’t a chicken chase, it’s political chess. Keep dreaming!
 
Back
Top Bottom