kwani si anahitajika? mbona hajakamatwa?Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe. Akihitajika atakamatwa kama kuku tu. Kwa hiyo acheni Blaa Blaa na porojo zenu hapa.
kwani si anahitajika? mbona hajakamatwa?Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe. Akihitajika atakamatwa kama kuku tu. Kwa hiyo acheni Blaa Blaa na porojo zenu hapa.
Chanzo cha kutamalaki kwa UKIMWI ni umaskini uliosababishwa na CCM. Ukienda Kimboka pale Buguruni ama Tandale uwanja wa Fisi na Buza kwa mpalange ngono mpaka za buku mbili zipo.askofu kusamabaza ukimwi kwa ngono zembe miongoni mwa waamini wake ni mauaji ya halaiki gentleman![]()
Keep talking, but remember, God uses broken vessels and you? You're just bitter and empty. 😎kwani nani anamuhitaji huyo mzinzi gentleman?![]()
chanzo cha ukimwi ni ngono zembe kama ambavyo gwajiboy hUsamabazia waamini wake kwa makusudi gentleman.Chanzo cha kutamalaki kwa UKIMWI ni umaskini uliosababishwa na CCM. Ukienda Kimboka pale Buguruni ama Tandale uwanja wa Fisi na Buza kwa mpalange ngono mpaka za buku mbili zipo.
Watu wanakwepa umaskini kwa kufanya ukahaba lakini wanakumbana na maradhingono UKIMWI ukiwemo.

Mashoga hawa hawa?? Au ?ccm wanawaza nyuma sana ndio maana kila mtu wanamuona shoga kumbe wao ndio mashoga
Safi sana!Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam
Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ hospital.. Begi lake likiwa limeshaandaliwa vizuri kabisa likiwa na pesa$, silaha na passport kwenye gari tayari kwa kupotea nampa salute💪🏿😂
Bahati nzuri au mbaya akakutana na watu wanatoshana mbinu.. Misheni ikafeli
Hata sakata la juzi alishajiandaa na kwa vyovyote alishapenyezewa za chinichini kwamba wanamjia.. Money talk.. Ukiwa na shekeli na ukajua kujiongeza utashindwa na mambo machache sana
Je aliwezaje kuwatoka police mpaka wakaishia kumkamata msaidizi wake tuu!? Kwa vyovyote alikuwa na escape plan 2 au 3
1.Kwenye kanisa lake kuna mlango wa siri unaoongoza mpaka nje kabisa bila kuonekana na yoyote
2. Kwenye kanisa lake ana handaki la siri lenye chumba kikubwa chenye huduma zote muhimu.. Na ana njia za siri za kuweza kufanya mawasiliano na watendaji wake bila kunaswa na mifumo ya kimtandao
3. Muda mchache kabla ya police kuvamia aliondoka na kwenda sehemu salaam mafichoni.. Kisha akiwa huko akajirekodi na wachungaji wake kwamba wako ndani ya kanisa na wameambiwa police wamezingira kanisa huko nje
Hii ni mbinu ya kijasusi. Kumzubaisha adui wakati wewe unapata nafasi ya kutoweka.. By the time jamaa wanatinga ndani Gwajima kitambo kabisa alishasepa! 😂
Ukiwaza kindezi unaweza kusema mwana alivuka boda usiku uleule akiwa kapigilia dela lake safi kabisa na ushungi juu.. Maana pengine walichelewa mno kuweka barriersView attachment 3356465
tuliza ball mjumbe na wakala wa shetani.Keep talking, but remember, God uses broken vessels and you? You're just bitter and empty. 😎

Sasa wanawaza nyuma unafikiri wanafikilia nini zaidi ya ushoga.Mashoga hawa hawa?? Au ?View attachment 3356548
ambacho hujui ni kwamba gwajiboy hajaanza kusumbuana na polisi leo wala jana so lazima anajua anachokifanya, pia by any means atakua ana link na system za govement..so kuna namba ambavo na yeye ameshapiga hesabu zakeHakuna jasusi pale
Hujui maisha ya huku uswahilini na huu umaskini uliosababishwa na CCM ukifanya ngono bila kondomu bei inapanda? Wewe endelea kuziita ngono zembe wakati dada zetu ndiyo njia yao pekee iliyobaki ya kujiingizia kipato.chanzo cha ukimwi ni ngono zembe kama ambavyo gwajiboy hUsamabazia waamini wake kwa makusudi gentleman.
unadhani gwajiboy alikua anawatembezea ngono waamini wake alikua anawalipa?Hujui maisha ya huku uswahili na umaskini uliosababishwa na CCM. Huku uswahili ukifanya ngono bila kondomu bei inapanda. Wewe endelea kuziita ngono zembe wakati dada zetu ndiyo njia yao pekee iliyobaki ya kujiingizia kipato.
Unadhani dada zetu wa huku uswhilini wanao uwezo wa kuuza bandari?

Unaumia sana Mkuu, una roho ya aina gani wewe?...Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe. Akihitajika atakamatwa kama kuku tu. Kwa hiyo acheni Blaa Blaa na porojo zenu hapa.
According to you, kama kuabudu kanisani kwa mzinzi ni kuabudu sanamu, pengine hata Yesu asingekula na watoza ushuru na makahaba, right? Funny how you’re so quick to judge, yet you probably need more grace than the people you're pointing fingers at.tuliza ball mjumbe na wakala wa shetani.
kuabudu kanisani kwa mzinzi ni kuabudu sanamu![]()
Hivi yule mkurugenzi wa Mafia na yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa kesi Yao iliishia wapi?unadhani gwajiboy alikua anawatembezea ngono waamini wake alikua anawalipa?
si aliku anasambaza ukimwi bure tu ila ni kwa wenye tamaa ya umaarufu zaidi![]()
Chawa acha uhuni....kwani nani anamuhitaji huyo mzinzi gentleman?![]()
Basi usipotubu hakika utakufa kizazi chako hakitakua salama kwa neno moja tu kiburi na majivuno hakika BWANA MUNGU ,neno lake litatimiamzinifu wa madhabahuni ni mjumbe wa shetani, mnao abudu kwake mnaabudu sanamu.
ramli ni nonsense kwangu gentleman![]()
Hata mama yako alifanya uzinzi na mlevi ndio kuzaliwa wewe, mwanaharamu.tuliza ball mjumbe na wakala wa shetani.
kuabudu kanisani kwa mzinzi ni kuabudu sanamu![]()
Wakati anasema mama anatosha mbona hamkumuita mzinzi?ananuka uzinzi na ngono tupu gwajima gentleman![]()