Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

Kumbe kweli
IMG-20250605-WA0029.jpg
 
askofu kushiriki uzinzi na kurekodi video akimnyandua muumini wake, huo si ushirikina na kuabudu sanamu gentleman? :pedroP:
Kumshambulia mtu aliyekosoa utekaji na uuaji, huo ndio USHOGA wenyewe sasa.
 
Lakini ile barua haikuwa ya wito.. ilikuwa ya kufungia kanisa...sasa imekuaje wamfuate tena...ila mimi nakazia kuwa malipo ni hapa hapa duniani...wakisha malizana na wasio na hatia ninacho kijua mimi wataanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe muda huo ukifika tutayajua ya sirini...!​
 
Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam

Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ hospital.. Begi lake likiwa limeshaandaliwa vizuri kabisa likiwa na pesa$, silaha na passport kwenye gari tayari kwa kupotea nampa salute💪🏿😂
Bahati nzuri au mbaya akakutana na watu wanatoshana mbinu.. Misheni ikafeli

Hata sakata la juzi alishajiandaa na kwa vyovyote alishapenyezewa za chinichini kwamba wanamjia.. Money talk.. Ukiwa na shekeli na ukajua kujiongeza utashindwa na mambo machache sana

Je aliwezaje kuwatoka police mpaka wakaishia kumkamata msaidizi wake tuu!? Kwa vyovyote alikuwa na escape plan 2 au 3
1.Kwenye kanisa lake kuna mlango wa siri unaoongoza mpaka nje kabisa bila kuonekana na yoyote
2. Kwenye kanisa lake ana handaki la siri lenye chumba kikubwa chenye huduma zote muhimu.. Na ana njia za siri za kuweza kufanya mawasiliano na watendaji wake bila kunaswa na mifumo ya kimtandao

3. Muda mchache kabla ya police kuvamia aliondoka na kwenda sehemu salaam mafichoni.. Kisha akiwa huko akajirekodi na wachungaji wake kwamba wako ndani ya kanisa na wameambiwa police wamezingira kanisa huko nje
Hii ni mbinu ya kijasusi. Kumzubaisha adui wakati wewe unapata nafasi ya kutoweka.. By the time jamaa wanatinga ndani Gwajima kitambo kabisa alishasepa! 😂
Ukiwaza kindezi unaweza kusema mwana alivuka boda usiku uleule akiwa kapigilia dela lake safi kabisa na ushungi juu.. Maana pengine walichelewa mno kuweka barriersView attachment 3356465
Mashauri wanayoweza wa PGO ni kupeleleza kesi za mabinti wametukanana uswazi.Vitu vya kutulia na kuwaza "down -under" hamna kitu.
 
Vikundi hivi, ambavyo sasa vinajulikana sana kama Jeshi la Bendera Nyekundu (Red Army), si sehemu ya ulinzi wa raia wala programu yoyote rasmi ya umma. Badala yake, vinaonekana kuwa sehemu ya mkakati wa siri wa kuimarisha udhibiti wa kisiasa wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 unakaribia.
 
Back
Top Bottom