Ugwadu! Kiboko ya mchawi

Mkuu mshana jr hizi nyuzi zako baadhi zina mafundisho mazuri na baadhi zinatisha ukiisoma kidogo tu hutaki kuendelea kuisoma hata ukiiona unaikimbia lol!
 
Aisee safi sana
We mrembo kumbuka hata ukiona mwanaume wako ameanza kisirani yaani kununa na kufoka foka kumezidi,basi jua kuna mapepo ya kutumwa ili asikupende tena,chukua ndimu kamua halafu maji yake changanya ndimu tatu katika litre ya maji,halafu hakikisha nguo zake zote mpaka underwear unazipiga basi kwa kunyunyizia maji hayo.
 
Kumbe Gwajima nae alitumia theory hii pale aliposema.."wasiopenda Lowasa walambe malemao" kumbe UGWADU ilikuwa ni kinga dhidi ya wachawi bila ya shaka aliagizwa na Mzee Kingunge
 
umenikumbusha miaka ya nyuma hivi nilikuwa nikitizama filamu za kutisha tu hahaha usiku Lazima ndimu zihusike.

Ila niliongezewa kaujuzi na rafik yangu unaweka ndimu,mkaa na kisu unalala navyo
Hata sindano pia unaichoma katikati ya ndimu
 
Kati ya siku zote leo ndio umetoa dawa rahisi mkuu.
Ile ya matongotongo ya dog ili nitoa jashoo!!
Hii nitakuPM baada ya mwezi (feedback).
 
75c854470c3eb4d87e7f7d54f61847f9.jpg

Unaweza kuona ni kitu cha kufikirika au cha maskhara lakini mchawi na ndimu ni vitu viwili tofauti kabisaMchawi anapenda sana damu na damu kwenye ndimu inaganda fasta...pengine hiki ndio kisa kikuu

Ukiwa na mauzauza usiku ukiwa unaota ndoto za ajabu hasa kulishwa vitu na kujitafuna mdomo lala tu na kipande cha ndimu na kulamba pia! Jamaa wakija tu kuna hiyo malighafi hawasogei au wataenda kujipanga upya.
47ae1e689511708025638d5f26237cd9.jpg
Sasa mshana hivi hawa wachawi ukatili wao wote waogope ndimu??wanauwa watu,wanachezea watu how come waogope ndimu???
 
Sasa mshana hivi hawa wachawi ukatili wao wote waogope ndimu??wanauwa watu,wanachezea watu how come waogope ndimu???
Usiidharau ndimu kama kitu kidogo sana kisicho na nguvu yoyote am sure unaweza kumaliza lita ya maziwa au hata kilo ya nyama pekeyako lakini sio robo kilo ya ndimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom