Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,601
- 729,479
Unaweza kuona ni kitu cha kufikirika au cha maskhara lakini mchawi na ndimu ni vitu viwili tofauti kabisaMchawi anapenda sana damu na damu kwenye ndimu inaganda fasta...pengine hiki ndio kisa kikuu
Ukiwa na mauzauza usiku ukiwa unaota ndoto za ajabu hasa kulishwa vitu na kujitafuna mdomo lala tu na kipande cha ndimu na kulamba pia! Jamaa wakija tu kuna hiyo malighafi hawasogei au wataenda kujipanga upya.