Ugwadu! Kiboko ya mchawi

Ugwadu! Kiboko ya mchawi

Nikajua UKAME wa kuloweka ze dyudyu...Hapo tusinge elewana..leo kampango kangu kamekaa vyema sana...
 
Ingekuwa rahisi hivyo basi uchawi ungekwisha. rejea tukio la Kenya juzi kati hapa, alienunua ndimu ktk kisa cha nyuki tayari watu wasubiri40 za hitima waendelee na yao
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ingekuwa rahisi hivyo basi uchawi ungekwisha. rejea tukio la Kenya juzi kati hapa, alienunua ndimu ktk kisa cha nyuki tayari watu wasubiri40 za hitima waendelee na yao
Kumbuka lile ni tukio la mchana na yule marehemu RIP alitaka kuingilia mambo ya watu
 
Hapo kwenye "illegal" ndo raha yake ipo hapo. Nitatumia mmea plus ndimu! Wachawi watanikoma!
2016e84df5977d8c682e40d0382fd03a.jpg
chukua colabo hiyo
 
Hata mimi nilidhani hivyo lakini nimeelewa sasa,Mkuu Mshana amepatia kabisa ,NDIMU sio mchezo sababu sisi kwetu wote tuliwekewa ndimu chini ya mto wakati tumezaliwa mpaka tunakua,na mauzauza sijui ndoto mbaya zoote kwishney marabuku.
Aisee safi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom