[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38]As always [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sana aisee.ahahaha Kiswahili ni kipana sana
Sasa hii ya kuja kivingine si ndio balaa.......... na si ndio unajenga vita nao wakidhani uko vizuri kimapambano kumbe masikini ya mungu ulipata ushauri kwa mshana jr.Wataondoka waje kivingine [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimeuweka kwenye katika chini ya mto (kwa sauti ya bradha k)[emoji23] [emoji23] uweke mbali kidogo
[emoji23] vipi hapo ni sawa au niuweke mezani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Je akishtukia umeweka chini ya mto hawezi kuitoa kisha akaendelea kukuadabisha?Chini ya mto asione
Hata siku moja! Unajua hawa watu ni waoga mno ndio maana mambo yao hufanya kwa kuvizia kama magaidi, yani akufanyie jambo baya kwa siri au kificho halafu asubuhi akuchoreJe akishtukia umeweka chini ya mto hawezi kuitoa kisha akaendelea kukuadabisha?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kazi hapa mchawi mshana anatoa maelekezo ya kumtoa mchawi mwenzake kwa ndimu kweli ufalme wa giza umefitinika ndo mana mganga mmoja haelewani na mganga mwingine wakati wote boss wao ni mmoja devil