Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Nashukuru king'asti..nimechukua ushauri tatizo japo hospital nshaenda na tatizo hili ni miez miwil sasa linaacha then back. May be nimpate dr competent na anayejali! Thnks again make naona wengine wanafanya ushabiki kwenye afya za watu!
Khaaa mgonjwa mkali!!!!

1. Imeanza lini na ilianzaje???!!!
2. Inatoka fresh blood au clotted???
3. Inatoka kabla,baada au inachanganyika na kitokacho!!!???
4. Una maumivu????

Anzia humo halafu twende sawa
 
Milestone ipi? Nnazo nyingi kama kichaa. Na naongezea ya kushindana na huyu jamaa kupata haja kubwa mara nyingi in 24 hrs (talk of smart milestones)
Afu nini sasa we unajiona lakini!!!!!!!?????
Ntafuatilia milestone yako!!!!!
 
Khaaa mgonjwa mkali!!!!

1. Imeanza lini na ilianzaje???!!!
2. Inatoka fresh blood au clotted???
3. Inatoka kabla,baada au inachanganyika na kitokacho!!!???
4. Una maumivu????

Anzia humo halafu twende sawa[/QUOTE

Ahaaa OLESAIDIM....Si unajua tena binadamu afya ikiyumba kila mtu unamuona mbaya?
Ok.
Tatizo lina miezi 2 sasa mi nilistuka tu kabla ya kuflash toilet nkaona damu japo si nyingi sana, damu inatoka fresh na sisikii maumivu yoyote wakati wa haja. Na damu inatoka baada ya haja hasa kwenye pozi la mwisho kabisa! Ebu saidia mtu wa Mungu maana maswali kama hayo niliulizwa hospital.
 
Tatizo lilianza takribani miez2 iliyopita, niligundua wakati wa kuflash toilet. Inatoka dam fresh na hakuna maumivu yoyote wakati wa haja kubwa. Damu inatoka mwishoni kabisa wala haichanyiki na mzigo unaotoka!
 
Khaaa mgonjwa mkali!!!!

1. Imeanza lini na ilianzaje???!!!
2. Inatoka fresh blood au clotted???
3. Inatoka kabla,baada au inachanganyika na kitokacho!!!???
4. Una maumivu????

Anzia humo halafu twende sawa[/QUOTE

Ahaaa OLESAIDIM....Si unajua tena binadamu afya ikiyumba kila mtu unamuona mbaya?
Ok.
Tatizo lina miezi 2 sasa mi nilistuka tu kabla ya kuflash toilet nkaona damu japo si nyingi sana, damu inatoka fresh na sisikii maumivu yoyote wakati wa haja. Na damu inatoka baada ya haja hasa kwenye pozi la mwisho kabisa! Ebu saidia mtu wa Mungu maana maswali kama hayo niliulizwa hospital.

je huwa unajisaidia choo kigumu?tafuta dawa inaitwa asaumu mara nyingi huwa zinauzwa nje ya misikiti ijaribu hiyo then utareta feedback,
 
Ok. Ndio Wakati mwingine hutokea na pia wakat mwingine tumbo kuunguruma!

inavyoonesha chanzo cha hilo tatizo uliwahi kujisaidia choo kigumu ikaweka mchubuko sasa ikitokea siku ukajisaidia choo kigumu huwo mchubuko huwa unatoa tena damu cha msingi tafuta dawa niliyokueleza hapo juu hiyo itasaidia kurekebisha mfumo wa chakula then jitaidi kula matunda hususani maembe na maganda yake,mboga zamajani,jitaidi kutokula vyakula vikavu hususani kipindi hiki kwani vitafanya ujikwaruze tena,fanya hivyo then utanipa feedback,ukienda hospital utapewa dawa utaambiwa uiingize sehemu ya siri lakini haitokusaidia sana,
 
Wakuu heshima kwenu!
Napenda kufahamishwa husiana na ugonjwa wa kuota nyama sehemu ya haja kubwa.Nini chanzo na tiba ya ugonjwa na ugonjwa huu unaitwaje kitaalamu ? Karibuni wakuu kwa mchango.
 
Wakuu heshima kwenu!
Napenda kufahamishwa husiana na ugonjwa wa kuota nyama sehemu ya haja kubwa.Nini chanzo na tiba ya ugonjwa na ugonjwa huu unaitwaje kitaalamu ? Karibuni wakuu kwa mchango.

BAWASIRI (HEMORRHOIDS)

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

Kuna aina mbili za Bawasiri

Nje: Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.

Ndani: Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?

Bawasiri husababishwa na;

  • Tatizo sugu la kuharisha
  • Kupata kinyesi kigumu
  • Ujauzito
  • Uzito kupita kiasi (obesity)
  • Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
  • Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
  • Umri mkubwa

Dalili za bawasiri

  • Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
  • Maumivu au usumbufu
  • Kinyesi kuvuja
  • Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa

Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri

  • Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
  • Strangulated hemorrhoids

786813_f260.jpg
Vipimo na uchunguzi

  • Digital rectal examination
  • Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
  • Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)

Matibabu
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri

  • Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
  • Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
  • Coagulation (infrared, laser and bipolar)
  • Upasuaji;
    • Hemorrhoidectomy
    • Stapled hemorrhoidopexy

Njia za kuzuia Bawasiri

  • High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
  • Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
  • Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa
 
Kwauelewa wangu mdogo huwa inasababishwa na constipation kuto kupata choo inasababisha misuli kuvimba na kutoka nje niugonjwa hatar sana ukiuchekea lamsingi kunywa maji mengi matunda kuepusha constipation ukimaliza kuoga au kutawaza jifute uwe mkavu mi ulinitesa kimtindo nikawa napaka asali asubuhi na jioni imenisaidia sana mpaka nimekuwa freshi
 
Mkuu asali ni dawa ya hii kitu au inasaidia kuepusha ugonjwa? Mimi nilifanyiwa operation kitambo ila naogopa isije rudi maana operation yake inauma sana mzee.
 
BAWASIRI (HEMORRHOIDS)

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

Kuna aina mbili za Bawasiri

Nje: Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.

Ndani: Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?

Bawasiri husababishwa na;

  • Tatizo sugu la kuharisha
  • Kupata kinyesi kigumu
  • Ujauzito
  • Uzito kupita kiasi (obesity)
  • Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
  • Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
  • Umri mkubwa

Dalili za bawasiri

  • Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
  • Maumivu au usumbufu
  • Kinyesi kuvuja
  • Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa

Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri

  • Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
  • Strangulated hemorrhoids

786813_f260.jpg
Vipimo na uchunguzi

  • Digital rectal examination
  • Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
  • Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)

Matibabu
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri

  • Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
  • Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
  • Coagulation (infrared, laser and bipolar)
  • Upasuaji;
    • Hemorrhoidectomy
    • Stapled hemorrhoidopexy

Njia za kuzuia Bawasiri

  • High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
  • Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
  • Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa
Mkuu MziziMkavu hongera sana kwa huduma yako hii,mungu akuzidishie.
 
Jamani habari za saa hizi wanaJF.

Ningependa kuuliza hivi tatizo la kujisaidida damu hua linasababishwa na kula vitu vigumu au kuharibika kwa utumbo kutokana labda na kuliwa na vijidudu? Au kuna sababu gani zaidi na huwa inatibika kwa njia gani?
 
Jamani habari za saizi wanaJF. Ningependa kuuliza hivi tatizo la kujisaidida damu hua linasababishwa na kula vitu vigumu au kuharibika kwa utumbo kutokana labda na kuliwa na vijidudu? Au kuna sababu gani zaidi na huwa inatibika kwa njia gani?

Eleza vizuri kwani kuna kujisaidia DAMU kwa haja kubwa ambako kunatokana na tatizo la minyoo na pia kuna kujisaidia DAMU haja ndogo ambako kunatoka na ugonjwa wa kichocho. Sasa wewe tatizo ulilonalo ni lipi kati ya haya?

Kwa ushauri zaidi, kamuone daktari aliye karibu nawe.
 
Back
Top Bottom